The Only Kilo
JF-Expert Member
- Jul 16, 2010
- 352
- 87
Nomba kujuzwa namna na taratibu za kufanya
DNA test.
kwa ufupi sababu ni kutambua baba wa kibayojia wa mtoto
DNA test.
kwa ufupi sababu ni kutambua baba wa kibayojia wa mtoto
Nomba kujuzwa namna na taratibu za kufanya
DNA test.
kwa ufupi sababu ni kutambua baba wa kibayojia wa mtoto
Hata ukienda kupima watu wa ustawi wa jamii hushirikishwa hivyo lazima utaambiwa huyo ni mwanao kwani wanahofia maisha ya yule mtoto wakisema siyo wako, je nani atamuhudumia na kama ndiyo upo kwenye ndoa usijisumbue kabisa utapoteza muda na pesa zako.
upo nak akili nyingi sana mkuu wangu maana hiki kitu kipo wazi...na tukienda wote wawili je itakuwaje?
kupima kupo pale pale tuna siyo lazima uanzie ustawi wa jamii hata kuna mahakama na mawakili pia ikishindikana unapanda hapo Nairobi ni gasta tu na awana longo longo kama izi za kwetuKwani huyo ni mkeo au ni msichana umezaa naye? Kama ni mkeo nakuomba ujikaze kisabuni kitanda hakizai haramu, kama ni mpenzi wako mlizaa naye wewe mchukue mtoto mpeleke kwa mama yako au shangazi yako akimwangalia atakwambia tu kuwa ni damu yako au la, haya mambo ya kwenda kupima unaweza ukawa kama Michael Jackson bure.