luqman hamis
New Member
- Jan 3, 2018
- 4
- 1
Tunauza mashine ya kupima DNA kwa anayehitaji tuwasiliane
Mpime mwanao kwanza tuone utendaji kazi wake.Tunauza mashine ya kupima DNA kwa anayehitaji tuwasiliane
Hili nalo neno.... atuambie nini hiyo DNA anayopima.Labda utuambie maana yako ya DNA kwanza,
Machine ya kupima DNA????????????????????????????????????????? ndiyo kitu gani? Hakipo dunianiTunauza mashine ya kupima DNA kwa anayehitaji tuwasiliane
Haahahhaa ndugu kama bado uko mitandaoni kukua subiri ila kama unataka kuelewa utauliz
Hamis, hakuna machine ya kupima DNA, haipo, labda sema unauza DNA Amplification Polymerase Chain Reaction machine, au DNA amplification machine, hapo nitakuelewaHaahahhaa ndugu kama bado uko mitandaoni kukua subiri ila kama unataka kuelewa utauliz