Dkt. Tulia: Kama wasingeenda Mahakamani ningetangaza nafasi kuwa wazi

Tunachouliza watanzania, hivi hilo Bunge lina double standards, Katika maamuzi yake?

Iweje wabunge wa CUF walipovuliwa uanachama wao, papo hapo, wakafukuzwa na ubunge wao, kwa kuwa Bunge lilieleza wazi kuwa haliwezi kuendelea na wabunge wasiotokana na chama chochote cha siasa!

Hivi inakuwaje sasa kwa Hawa wabunge wa Chadema, Spika aendelee kuwakumbatia Hadi pale mhimili wa Mahakama utapotoa hukumu??
Hapa ccm wanaogopa wakiwatoa chadema inaweza kugoma kupeleka majina mengine. then wakakosa pesa za EU.
 
Kwahiyo walikuwa wanaenda kama gender balance ama? Hata ingetokea mwanaume achaguliwe na aende bado tungempa kubwa yake. Mbowe mwenyewe sasa hivi hatumuelewi anaenda ikulu mwenyewe kufuata nini, au naye utasema kwakuwa tumeona anaenda kuongea na mwanamke?

Ww ndio unajua ni wanawake, sisi tunajua ni wasaka maslahi binafsi wakati chama kimehujumiwa wazi wazi.

Tindo ww ni muumini wa siasa za lisu hahaha siasa za amsha amsha

Siasa za kuparula au sio
 
Hakuna Jambo litatokea na wale watakaa mpaka 2025 me nakwambia

Mlisema magu kafa, mara ndugai katoka mara Baraza kuu wale wapo Tu

Sio muda wote wa kudindia serikali
hata wakitaka wawape na mlima kilimanjaro kama zawadi na wakae huko bungeni milele au wapewe vyumba walalane watajijua wenyewe POINT HAPA NI KWAMBA HAO SIYO WANACHAMA WA CHADEMA tusilazimishane uduwanzi
 
Tindo ww ni muumini wa siasa za lisu hahaha siasa za amsha amsha

Siasa za kuparula au sio

Sina muda wa siasa za kusujudia mtu, bali nataka siasa za haki na uwajibikaji fullstop.
 
Wale wa cuf sababu za kufukuzwa kwao hazikuwa na adhari kwenye utendaji wa Bunge

Chadema iligoma kupeleka wabunge viti maalum, Jambo la viti maalum ni Jambo la kisheria

So wakina mdee walivuliwa uanachama wao Kwa kutiii sheria ya viti maalum


Hapo sasa ndio chadema watafeli hata mahakamani
Hii reasoning yako ni ya ajabu sana.... hakuna tofauti na kusema niliiba ili nikamtibu mama yangu. Haramu ni haramu, kama CHADEMA walivunja sheria kutopeleka majina ya viti maalum, walipaswa kushitakiwa.
 
Hata wa 2025 itakuwa biggest enough is enough haha

2025 watu wanaojielewa hawatajitokeza kupiga kura, labda kufanyike mabadiliko ya kweli ya katiba na tume huru ya uchaguzi. Kinyume na hapo uchaguzi utakuwa na wapiga kura wachache kupita maelezo. Mungu akituweka hai tutakuwa hapa kushusha idadi ya wapiga kura, tayari kwa kushawishi watu watumie njia mbadala ya kupata viongozi wawatakao.
 
2025 watu wanaojielewa hawatajitokeza kupiga kura, labda kufanyike mabadiliko ya kweli ya katiba na tume huru ya uchaguzi. Kinyume na hapo uchaguzi utakuwa na wapiga kura wachache kupita maelezo. Mungu akituweka hai tutakuwa hapa kushusha idadi ya wapiga kura, tayari kwa kushawishi watu watumie njia mbadala ya kupata viongozi wawatakao.

Hakuna katiba wala tume mpya

Havitakuja hivyo vitu never
 
Yani sura 100% ya kinyoga au mjusi kafiri
20220516_233105.jpeg
 
Back
Top Bottom