Uchaguzi 2020 Dkt. Tulia aitikisa Mbeya mjini akichukua fomu, CHADEMA wahaha

Masikini Tulia, yaani watu wenyewe hawafiki hata mia tano ..pole Sana Tulia Mwansasu
 
Tulia yeye maandamano na watu mitaani hajaingia nao mpaka ofisin ila chadema mlivyo akili kisoda mlitaka mpaka kuvunja geti ili tu muingie ndan nec haiwakataz kumshindikiza Mgombea wenu ila inawataka mueshim taratibu pigen kelele uko nje mkifika sehem husika msubirin mtu wenu.

Icho ndicho kilicho wakost kina alima mdee segerea walipo taka kwenda kumpokea mbowe mpaka ndan ya get utasema wameenda kwenye upatu.
 
Bado sana, hilo jimbo mmiliki wake halali ni Sugu, huwezi tarajia kuwa mbunge kwa kupigiwa kura na hao wavaa sare za kijani, wacheni utani.
 
Mpango kabambe ni CCM kupita bila kupingwa
Wewe ndio umenena, kiufupi tunawalia target tu. Mkiteleza kidogo Sugu si mgombea tena na Tulia hatokuwa na mpinzani. Vinginevyo Tulia itabidi asubiri muujiza kwenye sanduku la kura, tukishindwa mbinu zote za kimedani tutafanya figisu kama zile za uchaguzi wa marudio Kinondoni. Mbeya pagumu sana kwa bibie, angebaki Rungwe kupunguza matatizo yasiyo ya lazima.
 
kuichagua ccm ni kuhalalisha umasikini wako again for 5 yrs
Jana nilikuwa mahali na mtumishi mmoja wa serikali , akaniambia anajuta kumpigia kura Magufuli ile 2015.

Nikamwambia awe mpole, mambo mazuri yanakuja huko mbele.
 
Back
Top Bottom