Dkt. Tulia Ackson chaguo sahihi Mbeya mjini

Dkt. Tulia Ackson chaguo sahihi Mbeya mjini

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2017
Posts
1,605
Reaction score
1,957
Wadau. Juhudi za Mhesh Naibu Spika Niza kupongezwa Sana.
Naamini kabisa WanaMbeya Mungu anakwenda kujibu maombi yao.
 

Attachments

  • FB_IMG_15687824551894213.jpg
    FB_IMG_15687824551894213.jpg
    25.6 KB · Views: 39
  • FB_IMG_15687823823439810.jpg
    FB_IMG_15687823823439810.jpg
    24.9 KB · Views: 37
  • FB_IMG_15687823479824664.jpg
    FB_IMG_15687823479824664.jpg
    24.6 KB · Views: 38
  • FB_IMG_15687823408113313.jpg
    FB_IMG_15687823408113313.jpg
    25.9 KB · Views: 38
  • FB_IMG_15687823331792157.jpg
    FB_IMG_15687823331792157.jpg
    26.3 KB · Views: 33
  • FB_IMG_15687823190673581.jpg
    FB_IMG_15687823190673581.jpg
    37.8 KB · Views: 37
  • FB_IMG_15687822968665391.jpg
    FB_IMG_15687822968665391.jpg
    21.8 KB · Views: 35
  • FB_IMG_15687822859173424.jpg
    FB_IMG_15687822859173424.jpg
    26.1 KB · Views: 36
  • FB_IMG_15687822435296930.jpg
    FB_IMG_15687822435296930.jpg
    21.2 KB · Views: 34
  • FB_IMG_15687822165116523.jpg
    FB_IMG_15687822165116523.jpg
    22.9 KB · Views: 35
  • FB_IMG_15687822259519798.jpg
    FB_IMG_15687822259519798.jpg
    22 KB · Views: 33
Kumekucha,macho yamewatoka, mate yanawadondoka Kuna kitu
 
...namkubaligi achezapo ule wimbo wa NYEGE NYEGEZIIiiiiiii.....
 
ushabiki maandazi wanaita waswahili.
Natamani kufanya ushabiki wa aina hii ila faida yake siijui
Unap[ata faida gani mkuu kwa ushabiki huu
Wanalipwa pesa ndefu tu, alianzia kwao wakaona tayari yupo wa CCM hivyo wakampa Mbeya ambako tayari ameshinda! Mkuu wa Mkoa alikwisha omba radhi kwa mwenyekiti wa chama chake kuwa upinzani hautashinda tena.
 
Sugu na ule mkopo wake CRDB aliojenga hotel sijui itakuwaje na ubunge unapotea mwakani, ile hotel lazima ipigwe mnada
 
Back
Top Bottom