Nakfa
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 10,979
- 14,401
Yani wewe lazima ufe masikini naapia haki ya Mungu!Sugu na ule mkopo wake CRDB aliojenga hotel sijui itakuwaje na ubunge unapotea mwakani, ile hotel lazima ipigwe mnada

Wadau. Juhudi za Mhesh Naibu Spika Niza kupongezwa Sana.
Naamini kabisa WanaMbeya Mungu anakwenda kujibu maombi yao.
Magu kesha waambukiza roho ya korosho iliyojaa umasikini.Sugu na ule mkopo wake CRDB aliojenga hotel sijui itakuwaje na ubunge unapotea mwakani, ile hotel lazima ipigwe mnada
Na ndio maana tutabaki kuwasindikiza wengine kama nchi,yani mtu unaona kabisa ana tamaa ya kupata jimbo,anafanya events za ajabu kama vile kupiga picha na walemavu,wajasiriamali sokoni,mashuleni n.k na watu wakiona hivyo hufikiri huyu ndo chaguo lao atakaebadilisha maisha yao only to find that huyu alikuwa after hicho cheo.
Miaka mitano inapita huku kile walichokitegemea hawakipati only to get disappointments. Wakitaka kumbadilisha huyo wanakuta tayari ameshalewa madaraka na hawezi achia jimbo hata kwa kumwaga damu au wizi wa kura,wanajikuta will zao haziheshimiwi tena,wanaishia kuwa a doomed society na forever more poor.
Tusipobadilika kama taifa kamwe huo uchumi wa kati au mwingine hatutakaa kuusikia kamwe.

We jamaa sio mtu mzr kabisa na ikitokea mtu amekujibu hizi hoja naomba unitagNajua Tulia Ackson anatingisha kiberiti kama anaweza kubalika Mbeya ndiyo maana anafanya kila analoweza awe midomoni mwa wana Mbeya Mjini.
Nadhani Tulia vile anadanganywa na wapambe wanaokula hela zake lakini ki-ukwelj siasa za Mbeya hazitabiriki.
Kama hawatahesabu kura walizopiga wananchi basi Tulia anaweza kuwa Mnunge wa Mbeya Mjini 2020, lakini kama ni kwa kuhesabu kura sioni namna ya watu wa Mbeya Mjini kumpa kura kwa sababu ziduatazo;
1. Mfumo dume; bado watu wa Mbeya hawaamini katika wawakikishi wanawake.
2. Kukosa mvuto; kwa kweli Mh Tulia ana sura ya kilioni. Kama wana Mbeya Mjini wataambiwa wachague kati ya Mary Mwanjelwa au Tulia Ackson, atashinda Mary Mwanjelwa kwa 90% hata bila kutoa senti tano. Mary ana mvuto!!
3. Tulia siyo mwenyeji wa Mbeya Mjini; hilo peke yake linaleta shida. Kwa nini asigombee kwao Busokelo?
4. Mwenendo wake bungenj kama naibu spika; pamoja na kisomo chake cha uana sheria ameonekana ni mtu ambaye yuko tayari kumtumikia kiongozi mkuu kukandamiza haki za wabunge walio chaguliwa na wananchi.
5. Vyanzo vya fedha za misaada; je anapata wapi hizo hela anazotoa misaada kwenye vikundi mbali mbali na je atawalipa nini hao wanaompa hiyo misaada?
6. Kuanza kampeni mapema; ana dalili zote za kuwa ameanza kampeni mapema na ameushika uongozi wa CCM wilaya na Mkoa
7. Mashindano ya ngoma za utamaduni ; siamini kama ndicho wana Mbeya wanataka

Siwezi Kuwa upande wa Chama cha Wauwaji. Na Mbeya hapawezi huyo akae Pembeni!Wadau. Juhudi za Mhesh Naibu Spika Niza kupongezwa Sana.
Naamini kabisa WanaMbeya Mungu anakwenda kujibu maombi yao.
That's the trend.Na ndio maana tutabaki kuwasindikiza wengine kama nchi,yani mtu unaona kabisa ana tamaa ya kupata jimbo,anafanya events za ajabu kama vile kupiga picha na walemavu,wajasiriamali sokoni,mashuleni n.k na watu wakiona hivyo hufikiri huyu ndo chaguo lao atakaebadilisha maisha yao only to find that huyu alikuwa after hicho cheo.