Dkt. Tulia Ackson chaguo sahihi Mbeya mjini

Dkt. Tulia Ackson chaguo sahihi Mbeya mjini

Mnatumia nguvu kubwa sana kumuuza ajuza wenu lakini hauziki. Mtu mzima na familia yako unakaza m.a.t.a.k.o kumnadi Mke wa mwenzio. Hovyooo.....
Wacha wamlie hela kwanza ana sura kama yuko na haja kubwa
 
Ni ngumu sana Mbeya kuchagua mwanamke alafu mnyakyusa wakati mji Ni wa wasafwa. Sidhani nafikiri Jongwe njia nyeupe pee.
 
Wakala wa Shetani amepost utumbo na kutoka nduki! Anachungulia kama mjusi Great Thinkers wanavyo mchana. Jitetee hata kidogo basi, Tulia hajakulipa pesa za kodi zetu anazoshirikiana kukwapua na aliyemteua wakimtumia Dotto kule Hazina? Kilangila.
 
Ile ya kuwanga mchana kweupe makaburibini iko wapi.
 
Ah
tapatalk_1553854447458.jpeg
 
Back
Top Bottom