endelea kusahihisha... nashukuru kwa msaada...Unahatibu tena[emoji34][emoji34][emoji34]
"Nimeelewa" sio "nime elewa"
Sent using Jamii Forums mobile app
Yu must be stupid....Acha umbeya hamna takatka ya kumng'oa mbunge. Wetu
{Hutajuta ukitembelea
& kusubscribe chanel yangu ya youtube jina Misifa Skills,Link hii hapa
Kweli wakahi kwa uwezo wa jecha na jeshi la polisi walahimajibu utayapata 2020...
hata ukitaka tuweke dau nyumba mbilimbili... ktk hili hakika usisite...
ubishi wa porojo wengine hatupendi...
Akuna hubaya Tuliakuna ubaya...
Kampeni za Ubunge hizi mwakaniNaibu spika wa bunge na mkuu wa taasisi ya Tulia trust ana zidi kufanya shughuli muhimu za kijamii mkoani mbeya...
wakazi wa mbeya mmependelewa sana hii fursa msiache iwa pite... wengine wana itamani ktk mikoa waliyopo lakini ndio hivyo...
View attachment 998030
Sent using Jamii Forums mobile app
asante kwa burudaniKwani we hujui katumia id fake kama ambavo hatutumii org
{Hutajuta ukitembelea
& kusubscribe chanel yangu ya youtube jina Misifa Skills,Link hii hapa
Ana maono ya 2020, siyo bure!Haya si mapenzi ni mahaba kwa wana Mbeya...
Kidumu chama cha mapinduzi...
zidumu fikra za mwenyekitiView attachment 998034
Sent using Jamii Forums mobile app
Baba mwenye nyumba akiwa mkali sana anasababisha watoto kuwa kiburi.Angekuwa mpinzani hapo, zamani ameshadakwa na kufunguliwa kesi ya kufanya mikusanyiko haramu..
Amedamshi sio?MIMI NAMSIFU TUU ALIYEMWAMBIA AKANYOA ULE UCHAFU KICHWANI MWAKE BASI