Dkt. Slaa ziarani: Desemba 7, Kasulu Vijijni (Kitanga, Kigadye na Kwaga)


Moja ya Mapungufu yangu ni kwamba, toka nizaliwe sijawahi hata siku moja kulala kwenye nyumba ya matope na nyasi kama hizo zinazoonekana kwenye picha.

Maisha ya chini sana na ya kifukara niliyowahi kupitia na maisha ya kupanga nyumba, lakini bado nakichukia chama cha mapinduzi kwa chuki kuu sana.

Sipati picha hao ndugu zangu wanajisikiaje, au ni kwa vile hawajawahi kuonja hanasa kidogo.
 
Kuna mambo mawili nimeyaona.
1.Mahudhurio ni hafifu sana kiasi kwamba picha zinapigwa kiujanjaujanja hats kurugenzi ya habari inavyoripoti ni tofauti na matukio mengine.
2.Kwa ziara hii hakuna uimarishaji wa chama Bali ni kujitutumua kuficha aibu.
ulivyoweka hiyo avator yako hujakosea mkuu, lakini maumivu yakizidi muone ...........
 
Nikiona hali ya wananchi wa Tz napatwa na nahasira mno
Haiwezekani Mkoa wenye rutuba hivyo, samaki n.k watu wake wanaishi kwa tabu hivi
Anatakiwa kiongozi makini mwenye ubunifu maccm yamebaki kuwa mafisaidi tuu
Hawa wananchi wakigoma wangepewa ushirikiano katika kilimo wangeishi maisha bora sana
Wangewezeshwa then masoko nje ya nchi yakatafutwa wangekuwa mbali sana
Ila mafisaidi maccm yako busy kuiba tuu hawajali wananchi kabisa RIP Maccm

 
Mkuu huu ndo umaskini ninaousema kila siku
Mtoto huyo yuko peku alafu kaptula imechanika then watu wanasema maisha bora kwa kila mtanzania
Huu ni ufirauni kweli haya maisha ni maisha bora



Daaa mizee ya ccm skuizi ina akili za kitoto sana sasa apo linafanya nini,juzi mbeya eti linabembea kwenye bajaji kweli ccm kwishney
 

wakuu nawaomba JF chondechonde mtasababisha wagonjwa wafurike huko Dodoma
 

Una akili kweli wewe?
 
Masikini, mtoto pekupeku, kapura anayoitegeme imechanika, akijiliwaza atamiliki gari.
 

old newz
 
Mkuu huu ndo umaskini ninaousema kila siku
Mtoto huyo yuko peku alafu kaptula imechanika then watu wanasema maisha bora kwa kila mtanzania
Huu ni ufirauni kweli haya maisha ni maisha bora

Maccm ni mashetani kabisa mkuu!! Yaani wanatia hasiramno!
Katibu wao...pamja na mihela aliyo nayo ya ujangili wa tembo...anamsanifu mtoto aliepekua!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…