Dkt. Slaa Tabora leo, picha...

faizafoxy na migulu chemba wanasema ni picha ya 2010 aliponyang'anywa urais
 
CHADEMA,CHADEMA,CHADEMA,CHADEMA,CHADEMA,CHADEMA,CHADEMA,CHADEMA,CHADEMA,CHADEMA,CHADEMA,CHADEMA,CHADEMA,CHADEMA,CHADEMA,CHADEMA,CHADEMA,CHADEMA,CHADEMA,CHADEMA,CHADEMA,CHADEMA,CHADEMA,CHADEMA,CHADEMA,CHADEMA,CHADEMA,CHADEMA,CHADEMA,CHADEMA,CHADEMA,CHADEMA,CHADEMA,CHADEMA,CHADEMA,CHADEMA,CHADEMA,CHADEMA,CHADEMA

WEEE ACHA TU HIKI CHAMA KWELI NI MPANGO WA MUNGU NA KILA APITAPO Dr. SLAA SHETANI UTIMKA MBIO.
 
asante sana kamanda , japokuwa nilikuwa nimeagiza supu mahali fulani lakini naitelekeza hata kama nimelipa , ngoja nikakae mahali tulivu , nijionee mambo ya TABORA .
 
Sijaona watu wakekunja ngumi za pp, nina mashaka kama 80% si ccm
 


Hakika Mkubwa wangu! Pamoja tutafika!
ccm wana pesa CDM wana MUNGU!
 
Hii thread itaenda mwendo wa konokono. Mbele ya picha hizi ambazo zinawapa maumivu makali Lumumba group na pro-CDM hakuna wa kuchangia labda kwa kujikokota na kujifariji huku wakifa kisomi..

Sio kila anaefika kwenye mkutano wa chama ni mwanachama wa chama na kuthibitisha hilo hebu weka idadi ya wanachama wa Tabora wako wangapi na waliokuja kwenye kikao wangapi
 
Tunashukuru wananchi kwa kugundua propaganda za ccm na kuzipuuza... sasa tuna endelea na ujenzi wachama bila pressure na matarajio yetu yapo palepale ( Kutwaa Dola 2015 )
 
Safi sana mkuu! Wale vijana wa buku 7 na prozitto tunawasubiri hapa.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 


Katibu Mkuu akizungumza na wananchi wa Kakola, Tabora, mkutano wake wa kwanza mapema leo asubuhi.
 
hapo ni tabora..ngome ya ccm. kwa mtu anaekebeh umati huo ajue ndo kwanza chama knajijenga....
 
Naona upande wa pili wamejipaka kiwi machoni hawaoni hii thread maana naona kimyaaaaa!hongereni sana cdm pigeni kazi tena tafuteni ushawishi kwa all she gender.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…