Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 27,126
- 39,344
Katika maisha yake yote ya ubunge hakuwahi kuwa na nyumba hadi akajengewa na Mbowe!! Hiyo ni lost case!Dkt. Slaa ni Padre mstaafu wa Kanisa Katoliki
Dkt. Slaa ni Katibu mkuu mstaafu wa Baraza la Maaskofu wa Katoliki
Dkt. Slaa ni Diwani mstaafu wa CCM
Dkt. Slaa ni mbunge mstaafu wa Chadema
Dkt. Slaa ni Katibu mkuu mstaafu wa Chadema
Dkt. Slaa ni mgombea urais wa JMT mstaafu
Dkt. Slaa ni Balozi mstaafu.... Nk...nk.
Jamani vyeo vyote hivyo NJAA inatoka wapi kwenye familia ya mke mmoja na ka Junior kamoja?
Ramadan kareem.