Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,993
will be there right time
Me too. Ila ni vyema tukajua itakuwa saa ngapi?
Salam wana JF.
Baada ya kukamilisha ziara ndefu na iliyojaa mafanikio katika mkoa wa Manyara, Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ambaye pia ni Kiongozi Mkuu wa upinzani nchini, kesho anatarajiwa kuzungumza na watanzania kupitia mkutano wa hadhara utakaofanyika katika viwanja vya Mbagala Zakhem jijini Dar es salaam.
Kabla ya mkutano huo wa hadhara Dkt. Slaa atapata fursa ya kukutana na timu inayoratibu kampeni za mgombea wetu wa udiwani katika kata ya Mianzini kamanda Cuthbert Saulo Ngwatta (almaarufu Mdudu) ambaye ndiye chaguo la wana mianzini.
Katika ziara hiyo Katibu mkuu katika kata ya Mianzini, ataambatana na viongozi wa kanda ya Pwani iliyo chini ya uenyekiti wa msomi na nguli Profesa Abdallah Safari.
Makamanda pamoja na wananchi waishio wilaya ya Temeke hasa maeneo ya jirani na Mbagala mnakaribishwa kumlaki na kumsikiliza kiongozi mahiri wa upinzani nchini kusikia atakuwa na ujumbe gani kwa watanzania hiyo kesho.
Nawasilisha. Peoples Power!
Rais ambaye hukutangazwa kutokana na tume chafu ya uchaguzi pole nakazi za chama karibu mianzini kuimarisha chama 2015 utatangazwa iam sure!!
ina maana dr slaa amefilisika sana kisiasa kiasi cha kuongoza kampeni za udiwani?
ina maana dr slaa amefilisika sana kisiasa kiasi cha kuongoza kampeni za udiwani?
Kiongozi aliyeko kwenye mioyo ya watu Dr Slaa.Hakika Jiji la Dar kesho litatikisika.
ahsante kwa taarifa kamanda,ila usisahau live updates na mapicha kama kawasalam wana jf.
Baada ya kukamilisha ziara ndefu na iliyojaa mafanikio katika mkoa wa manyara, katibu mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo (chadema) ambaye pia ni kiongozi mkuu wa upinzani nchini, kesho anatarajiwa kuzungumza na watanzania kupitia mkutano wa hadhara utakaofanyika katika viwanja vya mbagala zakhem jijini dar es salaam.
Kabla ya mkutano huo wa hadhara dkt. Slaa atapata fursa ya kukutana na timu inayoratibu kampeni za mgombea wetu wa udiwani katika kata ya mianzini kamanda cuthbert saulo ngwatta (almaarufu mdudu) ambaye ndiye chaguo la wana mianzini.
Katika ziara hiyo katibu mkuu katika kata ya mianzini, ataambatana na viongozi wa kanda ya pwani iliyo chini ya uenyekiti wa msomi na nguli profesa abdallah safari.
Makamanda pamoja na wananchi waishio wilaya ya temeke hasa maeneo ya jirani na mbagala mnakaribishwa kumlaki na kumsikiliza kiongozi mahiri wa upinzani nchini kusikia atakuwa na ujumbe gani kwa watanzania hiyo kesho.
Nawasilisha. Peoples power!
Kweli wewe gamba la kobe.
Sasahivi Makamu mwenyekiti wa ccm Philip Mangula amepiga kambi kata ya Iyela jijini Mbeya kumuuza mgombea wenu.
Katibu mkuu wenu ze dentist Kinana akishirikiana na Katibu mwenezi Nape kwa pamoja wamepiga kambi Mikoa ya Iringa na Njombe wakiwanadi wagombea wenu wa udiwani.
Kama ungekuwa unatumia vizuri akili yako usingekurupuka na kuropoka vitu vilivyokuwa dhahiri kiasi hiki.
Hata kama unafukuzia buku saba kwa post lakini uwe unajitahidi kujua kinachoendelea duniani ili usionekane kituko mbele ya jamii.
ina maana dr slaa amefilisika sana kisiasa kiasi cha kuongoza kampeni za udiwani?
Safi sana kumbe nitahudhuria bila kukosaMkutano unatarajiwa kuanza saa 9:00 alasiri.
ina maana dr slaa amefilisika sana kisiasa kiasi cha kuongoza kampeni za udiwani?