Dkt. Slaa atua na kutoa maoni yake kupitia Radio One kuhusu hali ya siasa nchini

I really love Dr. Slaa..

Those days he made me feel proud of CDM.

Dr. aliteka moyo wangu sana hasa kwenye umahiri wake wa kujenga hoja.

Nilimpa kura yangu 2010 ingawa sikupiga kwa sbb ya umri.

I reserved my vote for 2015 election, lkn ikawa hivyo tena.

When he resigned siasa za vyama, I resigned also.

Binafsi katika era hii ya siasa za bongo sijaona kama Dr.

All the best my role model.
Wamebaki wahuni tuu
 
Mbona uchaguzi wa 2010 Slaa alitangaza kwamba hii nchi haitatawalika kwa sababu aliibiwa kura! Leo anajifanya amesahau!
 
Tokea amekuwa balozi ni mambo gani ya tija kaliletea taifa kutoka huko aliko?
Ndio kwanza nchi kama Sweden aliko kwa Mara ya kwanza tokea Uhuru imepunguza misaada yake kwetu kwa 75% yeye yupo tuu anachezea chuchu za Josephina. Eti nimeacha siasa za vyama huku anaitukana Chadema? Mbona mabalozi wengine hatuwasikii kutukana Chadema?
Usikute kapewa tiketi arudi ili kuzima moto wa Kisutu Jana.
Bangaladeshi mxyh!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dr W. Slaa kaingia Tanzania jana Jumanne 10/03 usiku. Leo amefanya interview kwenye kipindi cha "Kumepambazuka" cha Radio One.

Amezungumza mengi kama vile diplomasia ya uchumi nk ila kuhusu siasa hizi ni dondoo muhimu kwenye interview hiyo:

1. Alijiuzulu siasa za vyama (active party politics). Hajarudi CCM na hategemei kurudi CCM. Si lazima arudi CCM (awe mwanachama) ili alitumikie taifa lake.Yeye kule Sweden hamuwakilishi mwenyekiti wa CCM, anamuwakilisha Rais.

2. Slaa anasema kama wapinzani walishindwa kuiondoa CCM 2015 hawataweza kuiondoa tena. Chama tawala kimebeba na kutekeleza agenda iliyoipa umaarufu upinzani 2015. Anasema upinzani unajenga mawazo chama tawala kinatekeleza. Hakuna kosa kwa chama tawala kuiba mawazo. Vyama vya upinzani vinapewa ruzuku kuwa "Viwanda vya Mawazo" ambayo chama tawala kinayatumia sababu upinzani hawana mahali (platform) ya kutekeleza mawazo yao.

3. Slaa anasema hakuna waraka (decree) unaowazuia wapinzani kuendesha shughuli zao. Serikali haifanyi kazi kwa matamko. Anasema kilichotokea ni kwamba kuna matamko ya upinzani (Chadema) yalileta sura ya kuchafua utulivu (Civil Disobedience). Walisema wataandamana kila kona - mkoa hadi mkoa, kijiji hadi Kijiji, mtaa hadi mtaa. Anasema kwa tafsiri yake, sheria inayotumika kudhibiti shughuli za wapinzani ni ya kipolisi sababu ikifika mahali unakwamisha mambo hauwezi kuachwa.

Anatoa mfano ofisi yake ya ubalozi Sweden ilipokea taarifa ya "Maandamano ya Mange Kimambi." Mamlaka ya Serikali ya Sweden ilitaka maelezo ya kina (details) za waandamanaji ikiwemo majina yao. Mamlaka hiyo ilielekeza idadi yao, sehemu ya kusimama na masharti mengine kama kutotumia vipaza sauti, nk. Anasema hii ni kuonyesha hata kwenye nchi kama Sweden, masharti yapo ili kuepuka kusumbua wananchi. Kati ya wale 100 walioruhusiwa kuandamana ni 6 tu walijitokeza.

Slaa anasema aliwaasa Chadema wajirekebishe kuhusu hili ila wameshindwa. Anasema ukombozi haupatikani kwa "Red Brigade" kuwa barabarani.

Anawaasa wanaotaka kujua Chadema ilipoanza kukosea wasome kitabu chake cha "Nyuma ya Pazia"
Mwendawazimu
Asijibalaguze
Tumekupotezea unataka nini kwani?
Tupishe hatuhitaji ushauri nasaha hotuba umbea kafute viatu vya aliyekuweka ubalozini
Muda karibu unaisha ndo unakuja 'mimi sio mwanaccm wakati unaitumikia serikali ya ccm'
Iko siku utalipa tu
 
Dr W. Slaa kaingia Tanzania jana Jumanne 10/03 usiku. Leo amefanya interview kwenye kipindi cha "Kumepambazuka" cha Radio One.

Amezungumza mengi kama vile diplomasia ya uchumi nk ila kuhusu siasa hizi ni dondoo muhimu kwenye interview hiyo:

1. Alijiuzulu siasa za vyama (active party politics). Hajarudi CCM na hategemei kurudi CCM. Si lazima arudi CCM (awe mwanachama) ili alitumikie taifa lake.Yeye kule Sweden hamuwakilishi mwenyekiti wa CCM, anamuwakilisha Rais.

2. Slaa anasema kama wapinzani walishindwa kuiondoa CCM 2015 hawataweza kuiondoa tena. Chama tawala kimebeba na kutekeleza agenda iliyoipa umaarufu upinzani 2015. Anasema upinzani unajenga mawazo chama tawala kinatekeleza. Hakuna kosa kwa chama tawala kuiba mawazo. Vyama vya upinzani vinapewa ruzuku kuwa "Viwanda vya Mawazo" ambayo chama tawala kinayatumia sababu upinzani hawana mahali (platform) ya kutekeleza mawazo yao.

3. Slaa anasema hakuna waraka (decree) unaowazuia wapinzani kuendesha shughuli zao. Serikali haifanyi kazi kwa matamko. Anasema kilichotokea ni kwamba kuna matamko ya upinzani (Chadema) yalileta sura ya kuchafua utulivu (Civil Disobedience). Walisema wataandamana kila kona - mkoa hadi mkoa, kijiji hadi Kijiji, mtaa hadi mtaa. Anasema kwa tafsiri yake, sheria inayotumika kudhibiti shughuli za wapinzani ni ya kipolisi sababu ikifika mahali unakwamisha mambo hauwezi kuachwa.

Anatoa mfano ofisi yake ya ubalozi Sweden ilipokea taarifa ya "Maandamano ya Mange Kimambi." Mamlaka ya Serikali ya Sweden ilitaka maelezo ya kina (details) za waandamanaji ikiwemo majina yao. Mamlaka hiyo ilielekeza idadi yao, sehemu ya kusimama na masharti mengine kama kutotumia vipaza sauti, nk. Anasema hii ni kuonyesha hata kwenye nchi kama Sweden, masharti yapo ili kuepuka kusumbua wananchi. Kati ya wale 100 walioruhusiwa kuandamana ni 6 tu walijitokeza.

Slaa anasema aliwaasa Chadema wajirekebishe kuhusu hili ila wameshindwa. Anasema ukombozi haupatikani kwa "Red Brigade" kuwa barabarani.

Anawaasa wanaotaka kujua Chadema ilipoanza kukosea wasome kitabu chake cha "Nyuma ya Pazia"
Mwambieni kitabu chake hatukinunui...hana jipya, na hatakuwa na jipya! Ukiona mwanaume anapelekeshwa na mwanamke usimkaribie...
 
Chadema hawatakuja kumpata mtu smart na mwenye kujenga hoja zenye mashiko Kama Dr. Slaa
 
Jamaa yuko vzr kwenye kujenga hoja na kuelezea misimamo yake. Si rahisi kwa balozi tena wa nchi kama Sweden kutamka hadharani kwamba yeye si mwana CCM na hana mpango wa kujiunga nacho !!!
Kuna tofauti kati ya serikali na chama pale slaa anatumikia serikali na si chama ni sawa na wafanyakazi wa uma
 
Huyu mzee anajaribu kuwasaidia sana Chadema ila kwa viburi yao tu na kukosa busara wanaishia kumpuuza.
 
Kwani mbona chama hakijasema kuwa kinahitaji msaada ila watu wameamua tu wenyewe kusaidia tena wengine sio wanachama wa chadema,sasa kama ni hivyo ajabu ni ipi kumchangia na yeye tatizo lake? Maana lengo ni kusaidiana.
Una uhakika chama akihusiki na hii michango inayochangishwa?

Alafu take your time kwasababu unaonekana hujui unachobishia ni nini
 
Huyu mzee anajaribu kuwasaidia sana Chadema ila kwa viburi yao tu na kukosa busara wanaishia kumpuuza.
Kwani ni lazima kupokea kila ushauri ndugu? Yaani nyie mnaotaka kuiuwa CDM ndio mnasema huu ushauri mzuri kwao. Unamhauri adui yako jinsi ya kukwepa risasi unayomlenga nayo wewe.
Za kuambiwa changanya na zako.
 
I really love Dr. Slaa..

Those days he made me feel proud of CDM.

Dr. aliteka moyo wangu sana hasa kwenye umahiri wake wa kujenga hoja.

Nilimpa kura yangu 2010 ingawa sikupiga kwa sbb ya umri.

I reserved my vote for 2015 election, lkn ikawa hivyo tena.

When he resigned siasa za vyama, I resigned also.

Binafsi katika era hii ya siasa za bongo sijaona kama Dr.

All the best my role model.
Kumbe bado mtoto, ukikua utaacha ujinga wa kupendapenda hovyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom