Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,143
- 17,529
Mzee bado ana mchango mkubwa snDkt. Slaa arejea rasmi CHADEMA na ametangazwa katika mkutano wa hadhara Mbeya
Kamtosa mwenzie Mwabukusi au?Alikuwa katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Slaa arejea rasmi CHADEMA na ametangazwa katika mkutano wa hadhara Mbeya.
Hilo lizee halina msaada wowoteAliyekuwa katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Slaa arejea rasmi CHADEMA na ametangazwa katika mkutano wa hadhara Mbeya.
TayariKumeanza kuchangamka..
Huyo Uliyemtaja Na johnbaptist Wametupwa Nje Ya MfumoJambo jema Lucas Mwashambwa toa neno mheshimiwa.