Dkt. Slaa amefanya mahojiano kwa muda mfupi, CHADEMA wamebaki wamechanganyikiwa kabisa, hakika huyu ni kiboko yao

Dk. Slaa ni profesa wa Siasa, yaani kafanya mahojiano kwa muda mfupi, CDM wamepagawa, akili zimewaruka.

Nadhani pengo la Dk Slaa liko wazi na ni kubwa sana ndani ya CHADEMA.
Wote wamefurumuka kutoka kwenye mashimo yao huko ufipa kujaribu kuzima moto mkali wa Dk. Slaa.

Hakika huyu Dk siku akimwaga mboga na ugali, kile chama kimekwisha
Huyu mzee ni muongo toka zamani
Kumbuku wakati akigombea urais alidai kuna Lori limekamatwa Songwe lomejaa kura feki za Kikwete
 
Duh...!, laiti ungelijua kuwa tayari baadhi ya Wana Chadema walikwisha mshtukia kitambo, sisi watu wa jicho la tatu, long time tuliisha waonya Chadema
P
Heshima kubwa ya Dr ni kuwa anaruhusu kujadilina naye hoja na propaganda zote juu yake.
Ujasiri ambao sio wanasiasa wote wanao.
Nilifuatilia mjadala wake na Msigwa -
Msigwa akaanza kuongea mambo ya Mke wa Slaa eti kisa Dr kamuita Msigwa "Mchungaji"
 
Dk. Slaa ni profesa wa Siasa, yaani kafanya mahojiano kwa muda mfupi, CDM wamepagawa, akili zimewaruka.

Nadhani pengo la Dk Slaa liko wazi na ni kubwa sana ndani ya CHADEMA.
Wote wamefurumuka kutoka kwenye mashimo yao huko ufipa kujaribu kuzima moto mkali wa Dk. Slaa.

Hakika huyu Dk siku akimwaga mboga na ugali, kile chama kimekwisha
Mpe na "jicho" yaishe sio kwa sifa hizo hata mkewe hajawahi kumsifia hivyo.
 
Dk. Slaa ni profesa wa Siasa, yaani kafanya mahojiano kwa muda mfupi, CDM wamepagawa, akili zimewaruka.

Nadhani pengo la Dk Slaa liko wazi na ni kubwa sana ndani ya CHADEMA.
Wote wamefurumuka kutoka kwenye mashimo yao huko ufipa kujaribu kuzima moto mkali wa Dk. Slaa.

Hakika huyu Dk siku akimwaga mboga na ugali, kile chama kimekwisha
Acha kutia chumvi ww. Fanya Kazi ya maendeleo
 
Dk. Slaa ni profesa wa Siasa, yaani kafanya mahojiano kwa muda mfupi, CDM wamepagawa, akili zimewaruka.

Nadhani pengo la Dk Slaa liko wazi na ni kubwa sana ndani ya CHADEMA.
Wote wamefurumuka kutoka kwenye mashimo yao huko ufipa kujaribu kuzima moto mkali wa Dk. Slaa.

Hakika huyu Dk siku akimwaga mboga na ugali, kile chama kimekwisha
kiungo hiki mhimu sana kwenye kutafuta mtoto
 
Dr Slaa kama una tatizo nae fanya nae mdahalo uone. Simply mwanasiasa bora na Genius wa kizazi chetu.
 
Dk. Slaa ni profesa wa Siasa, yaani kafanya mahojiano kwa muda mfupi, CDM wamepagawa, akili zimewaruka.

Nadhani pengo la Dk Slaa liko wazi na ni kubwa sana ndani ya CHADEMA.
Wote wamefurumuka kutoka kwenye mashimo yao huko ufipa kujaribu kuzima moto mkali wa Dk. Slaa.

Hakika huyu Dk siku akimwaga mboga na ugali, kile chama kimekwisha
Kawafanya wasahau hata kumtukana Magufuli.Yaani Dr akifanya mahojiano Tena basi tutarajie kuona ngumi za kimatumla huko chadema.
Dr hajawahi kufeli malengo anayoweka
 
Dk. Slaa ni profesa wa Siasa, yaani kafanya mahojiano kwa muda mfupi, CDM wamepagawa, akili zimewaruka.

Nadhani pengo la Dk Slaa liko wazi na ni kubwa sana ndani ya CHADEMA.
Wote wamefurumuka kutoka kwenye mashimo yao huko ufipa kujaribu kuzima moto mkali wa Dk. Slaa.

Hakika huyu Dk siku akimwaga mboga na ugali, kile chama kimekwisha
Kinembe chinembe kama lilivyo jina lako, una akili ambazo hazitoshi hata kujaa katika kisoda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom