Dkt. Slaa akirudi Tanzania tumuombe arudi CHADEMA

Dr Wilbroad Slaa katu hakushushiriki katika mapambano ya kudai demokrasia ya vyama vingi kwani kama walivyokuwa wachumia tumbo wote nyakati hizo, hakuwa na ujasiri huo. Ni pale alipotupwa nje baada ya kuchukua fomu ya kugombea ubunge kupitia chama hicho cha Majizi, CCM, ndipo alipodandia treni ya Chadema na kupata ufadhili wa kugombea nafasi hiyo.

Nyie watoto mliozaliwa kwenye mikesha ya mwenge historia kama hizi mtazijulia wapi?

umetisha mkuu
 
Kwa sasa kisiasa tupo vibaya sana maana katibu mkuu aliyepo sasa hivi hana mikakati ya kutunyanyua kisiasa.

Pamoja na kuwa mwamba ametiwa nyavuni lakini sio sababu ya kutoendeleza mikakati ya kisiasa.

Uonevu wa Ccm kwa watanzania umezidi, tozo za kila namna, ukosefu wa ajira, ufisadi na kila namna ya ukiukwaji wa haki za binandamu.

Dk Slaa ndio mpiganaji atayeweza kuirudisha CHADEMA kwenye reli.

Majembe yetu bashiri na polepole vipi yangerejelea nafasi zao kwa ushindi zaidi bila kupingwa?
 
Kama una akili timamu utajua what is what.
Yaani wewe Kamanda Asiyechoka (takataka ya Lumumba) ndio uwe na akili timamu, thubutu! Huko Lumumba hakuna akili timamu ndio maana haikuwa kazi ngumu kwa yule dhalimu mwendakuzimu kuwatafuta vichaa wenzake na kuwateua halafu kuwapa madaraka yanayowazidi kimo. Hilo mbona alilisema yeye mwenyewe...nireteeni fulani, namtaka fulani, yuko wapi fulani, nateua mwenyewe, sitaki ushauri...utadhani anawaopoa kwenye dampo.
 
Chadema wengi wasio na akili humuona Slaa alisaliti chama.
 
Kwa sasa kisiasa tupo vibaya sana maana katibu mkuu aliyepo sasa hivi hana mikakati ya kutunyanyua kisiasa.

Pamoja na kuwa mwamba ametiwa nyavuni lakini sio sababu ya kutoendeleza mikakati ya kisiasa.

Uonevu wa Ccm kwa watanzania umezidi, tozo za kila namna, ukosefu wa ajira, ufisadi na kila namna ya ukiukwaji wa haki za binandamu.

Dk Slaa ndio mpiganaji atayeweza kuirudisha CHADEMA kwenye reli.
Labda arudi kukuoa wewe,bladifakeni
 
Chadema mawazo au wazo alitokagi chini kwenda juu ila linatokaga juu kwenda chini, na juu ni kwa mtu mmoja tu, kama Mboe akiongea na Slaa na kumpigia magoti anaweza rudi na wanachama wote wakakubari na kumpokea lakini ona wewe unavyokashfiwa na hoja yako hao ni watu ila kwa ndani ni nyumbu. \wanachama wa chadema ni kama askari wanafuata amli tu hawa ndiyo maana wanitwa makamanda.
 
Kwa sasa kisiasa tupo vibaya sana maana katibu mkuu aliyepo sasa hivi hana mikakati ya kutunyanyua kisiasa.

Pamoja na kuwa mwamba ametiwa nyavuni lakini sio sababu ya kutoendeleza mikakati ya kisiasa.

Uonevu wa Ccm kwa watanzania umezidi, tozo za kila namna, ukosefu wa ajira, ufisadi na kila namna ya ukiukwaji wa haki za binandamu.

Dk Slaa ndio mpiganaji atayeweza kuirudisha CHADEMA kwenye reli.
Mwombe hata akuoe au aongoze familia yako.
Tabia za kishoga hizi kumshobokea mwanaume mwenzio.
Dkt.Slaa aliondoka mwenyewe CHADEMA wewe unataka uende ukamwombe arudi ili iweje?
 
Back
Top Bottom