Dkt. Shika kuiaga Tanzania mazima

Dkt. Shika kuiaga Tanzania mazima

ila huyu mzee sidhani kama akili zake zipo vizuri inaonyesha alikuwa na ndoto kubwa sana.
 
Aisee yuko vizuri kwenye Ubunifu wa kiki, Congratulation to him.
 
dr shika angetumiwa na serikali katika zile kampeni za kuchochea uzalendo
 
Huyu wampeleke Milembe tu.

Inanikumbusha theory moja, ni rahisi kuwa maarufu duniani ila ni ngumu sana ku maintain umaarufu. Ndio maana utakuta mtu anapata umaarufu labda kwenye muziki au sinema kisha anashindwa kubaki na umaarufu wa muziki anaanza kupiga picha za uchi au ujinga mwingine ili mradi jina lake liendelee kusemwa semwa
Mkuu theory hii unaweza kuwa applied kwa Kaa- Kobe? nauliza tu!
 
Back
Top Bottom