GE2025 Dkt. Samia Suluhu Hassan kututembelea Chamwino leo

GE2025 Dkt. Samia Suluhu Hassan kututembelea Chamwino leo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

toto2000

Member
Joined
Aug 24, 2025
Posts
24
Reaction score
7
Tunamshukuru sana Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kututembelea Chamwino leo tarehe 31 Agosti 2025, na kutupa matumaini pamoja na dira ya maendeleo.

Tunaendelea kukuuombea kwa Mwenyezi Mungu afya njema, hekima na nguvu katika safari yako ya uchaguzi 2025-2030 Tanzania.

Umoja na Maendeleo
 
IMG-20250831-WA0016.jpg

Anaendelea Kuchanja nyika Sasa ni zamu ya Chemba
 
Back
Top Bottom