GE2025 Dkt. Samia: Nipeni tena urais, migogoro ya ardhi itakoma

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kuendeleza programu ya "Tutunzane" ili kukomesha migogoro ya ardhi kati ya wafugaji na wakulima, endapo atachaguliwa kuwa Rais kwa awamu nyingine.

Akizungumza na wananchi wa Kilosa, mkoani Morogoro, katika kampeni zake, Dkt. Samia amesema kuwa programu hiyo imekuwa na matokeo chanya katika Wilaya ya Mvomero, mkoani Morogoro, ambapo sasa wakulima na wafugaji wanaishi pamoja kwa amani na upendo. Ameahidi kuipanua na kuitekeleza katika Wilaya ya Kilosa endapo atapewa ridhaa ya kuongoza kwa awamu ya pili.

Aidha, Dkt. Samia ameahidi kuboresha huduma za elimu na afya kwa kuongeza shule na vituo vya afya, pamoja na kufufua Bwawa la Idete wilayani humo ili liweze kutumika katika shughuli za kilimo na kutatua changamoto za maji.
 
ccmtanzania_0240f9cdfdcc4e0596defd7ea47b8210.jpg
 
View attachment 3458855
Anabembeleza hivo kwani anashindana na nani
 
Kajiteua, kazuia upinzani halisi why waste money wakati huna ushindani
 
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kuendeleza programu ya "Tutunzane" ili kukomesha migogoro ya ardhi kati ya wafugaji na wakulima, endapo atachaguliwa kuwa Rais kwa awamu nyingine.

Akizungumza na wananchi wa Kilosa, mkoani Morogoro, katika kampeni zake, Dkt. Samia amesema kuwa programu hiyo imekuwa na matokeo chanya katika Wilaya ya Mvomero, mkoani Morogoro, ambapo sasa wakulima na wafugaji wanaishi pamoja kwa amani na upendo. Ameahidi kuipanua na kuitekeleza katika Wilaya ya Kilosa endapo atapewa ridhaa ya kuongoza kwa awamu ya pili.

Aidha, Dkt. Samia ameahidi kuboresha huduma za elimu na afya kwa kuongeza shule na vituo vya afya, pamoja na kufufua Bwawa la Idete wilayani humo ili liweze kutumika katika shughuli za kilimo na kutatua changamoto za maji.
View attachment 3458855
Acha sound ewe bi mkubwq
 
Back
Top Bottom