Nchiyangu_furahayangu
Member
- Aug 25, 2025
- 30
- 6
Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mkutano na wananchi Dakawa, Morogoro, aliahidi kukamilisha kituo cha afya na zahanati, kujenga mstari wa umeme wa 220KV kutoka Morogoro hadi Dumila, na kuanzisha Bima ya Afya kwa wote. Alisisitiza umuhimu wa kujenga uchumi wa kujitegemea na kuomba wananchi kumtumikia tena kwa kuendeleza maendeleo ya nchi.