Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 16,975
- 13,146
Kati ya watu niliotamani sana kusoma autobiography yake basi ni hhuyu mzee.
Bahati nzuri leo nimeona hapa TBC kuwa kazindua kitabu chake kiitwacho " Mwana wa Afrika ".
Sijajua lini kitakuwa sokoni.
I can't wait to have it.
Bahati nzuri leo nimeona hapa TBC kuwa kazindua kitabu chake kiitwacho " Mwana wa Afrika ".
Sijajua lini kitakuwa sokoni.
I can't wait to have it.