Dkt. Philip Isidori Mpango amewasili katika Viwanja vya Santa Pedro, Vatican

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,770
Reaction score
1,173
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isidori Mpango amewasili katika Viwanja vya Santa Pedro, Vatican tayari kwa kushiriki maadhimisho ya Misa ya Mazishi ya aliyekuwa Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki duniani Baba Mtakatifu Francisko.

Dkt. Mpango katika maadhimisho ya Misaa hiyo ameambatana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo

Makamu wa Rais Dkt. Mpango ambaye anamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ameungana na Marais na Makamu Rais 123 kutoka sehemu mbalimbali Duniani wanaoshiriki katika mazishi hayo ya aliyekuwa Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki duniani.
IMG-20250426-WA0035.jpg
IMG-20250426-WA0044.jpg
IMG-20250426-WA0050.jpg
 
Attachments

  • IMG-20250426-WA0049.jpg
    IMG-20250426-WA0049.jpg
    438.8 KB · Views: 21
  • IMG-20250426-WA0048.jpg
    IMG-20250426-WA0048.jpg
    394.4 KB · Views: 22
  • IMG-20250426-WA0030.jpg
    IMG-20250426-WA0030.jpg
    423.9 KB · Views: 19
  • IMG-20250426-WA0046.jpg
    IMG-20250426-WA0046.jpg
    524.8 KB · Views: 18
  • IMG-20250426-WA0036.jpg
    IMG-20250426-WA0036.jpg
    532 KB · Views: 17
  • IMG-20250426-WA0040.jpg
    IMG-20250426-WA0040.jpg
    382.3 KB · Views: 15
  • IMG-20250426-WA0032.jpg
    IMG-20250426-WA0032.jpg
    558.5 KB · Views: 20
  • IMG-20250426-WA0041.jpg
    IMG-20250426-WA0041.jpg
    387.9 KB · Views: 21
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isidori Mpango amewasili katika Viwanja vya Santa Pedro, Vatican tayari kwa kushiriki maadhimisho ya Misa ya Mazishi ya aliyekuwa Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki duniani Baba Mtakatifu Francisko.

Dkt. Mpango katika maadhimisho ya Misaa hiyo ameambatana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo

Makamu wa Rais Dkt. Mpango ambaye anamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ameungana na Marais na Makamu Rais 123 kutoka sehemu mbalimbali Duniani wanaoshiriki katika mazishi hayo ya aliyekuwa Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki duniani.View attachment 3316348View attachment 3316349View attachment 3316352
Huku ndio panamfaa
 
Huyu ni mmoja wa wazalendo wachache sana waliomo kwenye Serikali dhalimu ya Malikia wa Unafiki.
 
Eti samia amemtoa mpango umakamu wa Rais

Hii nchi inatia hasira

Mpango kwa miakili yake tu samia angekuwa anamsikiliza tusingekwama km tulivyokwama sasa
 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isidori Mpango amewasili katika Viwanja vya Santa Pedro, Vatican tayari kwa kushiriki maadhimisho ya Misa ya Mazishi ya aliyekuwa Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki duniani Baba Mtakatifu Francisko.

Dkt. Mpango katika maadhimisho ya Misaa hiyo ameambatana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo

Makamu wa Rais Dkt. Mpango ambaye anamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ameungana na Marais na Makamu Rais 123 kutoka sehemu mbalimbali Duniani wanaoshiriki katika mazishi hayo ya aliyekuwa Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki duniani.View attachment 3316348View attachment 3316349View attachment 3316352
Huku mnaua halafu mnaenda kufanya najis Vatican, yaani hii ni kufuru!!!

That is blasphemy na hiyo ndege sijui ilirukaje ikafika huko.

Mungu epusha hiki kikombe nisikinywe

Vanity, this is not the world, these are murderers don’t allow them to touch that holly sea land!!
 
Back
Top Bottom