Dkt. Nchimbi: Watanzania, msiache kuiombea nchi

Hivi mmeshawahi sikia Japan, China, Singapore, Canada, Australia au Uholanzi viongozi wao waandamizi wakisisitiza kuombea ombea nchi mara kwa mara!

Mbona wana maendeleo makubwa sana kuzidi Tanzania ambayo kila mara mnasisitizwa kuombea nchi na bado ufukara umetamalaki kila kona!🤔
 
Makamu wa Rais, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amewasihi viongozi wa dini na Watanzania kwa ujumla kutumia kipindi cha toba cha Ramadhani na Kwaresma kuiombea nchi, viongozi wa serikali na vyama vya siasa ili kuendelea kujenga taifa lenye upendo, amani na mshikamano.

Makamu wa Rais amesema hayo mara baada ya kushiriki futari aliyoiandaa kwa ajili ya wananchi wa Mkoa wa Dodoma pamoja na viongozi wa serikali, taasisi za dini na Chama Cha Mapinduzi (CCM), iliyofanyika mkoani Dodoma.

Amesema jambo muhimu ni kuhakikisha hamasa ya mapenzi ya nchi inakuwepo kwa kila mmoja, huku chemchem ya uzalendo ikijengeka katika mioyo ya Watanzania ili waishi kwa kupendana na kushirikiana chini ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Aidha, Makamu wa Rais amesema moja ya mambo muhimu ya kufanya katika kipindi cha toba ni kumwahidi Mwenyezi Mungu kuwa kila Mtanzania atajitahidi kuwaunganisha Watanzania wenzake ili kuijenga nchi kuwa taifa moja lenye upendo.

Futari hiyo imehudhuriwa na viongozi mbalimbali akiwemo Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Hamad Masauni, Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro, Waziri wa Madini Anthony Mavunde, wajumbe wa Kamati ya Maridhiano, viongozi wa dini, wabunge wa Mkoa wa Dodoma, wakuu wa wilaya pamoja na wananchi.

Ili iweje!?
 
Yes,
ndugu makamu wa Rais,
Kama vijana tupo imara kuiombea na kuilinda nchi yetu bila kuchoka wala kukata tamaa.

mamluki wenye mapepo ya fujo na vibaraka wa mabwenyenye ya magaharibi hawana nafasi hata kidogo kuidhuru nchi yetu iwe kiuchumi, kisiasa au kijamii.
Huyo mpuuzi hana maana, mkristo anavaa kanzu na barakhashea kisha anajifanya kutoa maelekezo. Mbona viongozi wa kiisilamu hawavai misalaba na ni wakati w kwaresma? Watu wanaojilewa hawawezi kuvaa mavazi ya imani nyingine labda matapeli tu ndio huigiza hivyo.
 
Makamu wa Rais, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amewasihi viongozi wa dini na Watanzania kwa ujumla kutumia kipindi cha toba cha Ramadhani na Kwaresma kuiombea nchi, viongozi wa serikali na vyama vya siasa ili kuendelea kujenga taifa lenye upendo, amani na mshikamano.

Makamu wa Rais amesema hayo mara baada ya kushiriki futari aliyoiandaa kwa ajili ya wananchi wa Mkoa wa Dodoma pamoja na viongozi wa serikali, taasisi za dini na Chama Cha Mapinduzi (CCM), iliyofanyika mkoani Dodoma.

Amesema jambo muhimu ni kuhakikisha hamasa ya mapenzi ya nchi inakuwepo kwa kila mmoja, huku chemchem ya uzalendo ikijengeka katika mioyo ya Watanzania ili waishi kwa kupendana na kushirikiana chini ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Aidha, Makamu wa Rais amesema moja ya mambo muhimu ya kufanya katika kipindi cha toba ni kumwahidi Mwenyezi Mungu kuwa kila Mtanzania atajitahidi kuwaunganisha Watanzania wenzake ili kuijenga nchi kuwa taifa moja lenye upendo.

Futari hiyo imehudhuriwa na viongozi mbalimbali akiwemo Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Hamad Masauni, Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro, Waziri wa Madini Anthony Mavunde, wajumbe wa Kamati ya Maridhiano, viongozi wa dini, wabunge wa Mkoa wa Dodoma, wakuu wa wilaya pamoja na wananchi.

unaiombeaje nchi na serikali INAYO
uwa watu kama walivyouwa watu hapo october 29
Teka na kutesa watu wake kama ilivyofanya kwa mdude na polepole
Kusingizia watu kesi za uongo kama wanavyofanya kwa Tundu lisu
unaiombeaje nchi ya namna hii?
mungu amlaani yule aliyejuu
 
Back
Top Bottom