raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,898
- 37,108
Ukichanganya na mke wake yule ina maana kwenye familia mzee amesha zika watu 6 🫢Ipy alifariki siku moja baada ya kushinda uwenyekiti uvccm Dar.
Alisoma Highlands Iringa akiwa mcheza basketball mzuri
Kabla ya kifo chake kaka yake alikufa kwa ajali akiwa mwaka wa kwanza Ud,na dada yake Cath pia.
Alikuwa anajiandaa kwenda kwenye party Leaders,akawaacha wenzake chini nyumbani kwake akapanda ghorofani kubadilisha nguo,akashuka maiti...
Dah! Watoto wa Mzee wamefariki wengi. Si ndio pamoja na Le Mutuz na yule dada aliwahi kua Mkurugenzi wa NIMR?Ipy alifariki siku moja baada ya kushinda uwenyekiti uvccm Dar.
Alisoma Highlands Iringa akiwa mcheza basketball mzuri
Kabla ya kifo chake kaka yake alikufa kwa ajali akiwa mwaka wa kwanza Ud,na dada yake Cath pia.
Alikuwa anajiandaa kwenda kwenye party Leaders,akawaacha wenzake chini nyumbani kwake akapanda ghorofani kubadilisha nguo,akashuka maiti...
Kweli kabisamadhara ya wazazi kuwa na vyeo kwa njia za kishirikina.
Ni ngumu Kwa nyie watoto kumuelewa Ila watu kama Sisi tunaelewa sawa sawa.jina kakosea ni Ipyana aka Ipy Malecela mdogo wake Le Mutuz ,le baharia ,Mzee wa nyenyeeeee ripHujatumia coe ila kukuelewa inahitaji msuli
Upo sahihiDah! Watoto wa Mzee wamefariki wengi. Si ndio pamoja na Le Mutuz na yule dada aliwahi kua Mkurugenzi wa NIMR?
Na kuna mjukuu piaUkichanganya na mke wake yule ina maana kwenye familia mzee amesha zika watu 6 🫢
Amina chifupa nae si alitamani hilo fupa la uvccm ama umesahau?Ipyana malelela yupo wapi Leo. Huyu ipyana aligombea iliwahi gombea na nchimbi UVCCM na Nchimbi yupo wapi Leo
Kihongosi na happy kuweni Makini
Jamaa ni mtu hatari sana huyu
Kugombea tu pamoja ndio kuna fanya jamaa ahusishwe na kifo chakeNa kuna mjukuu pia
Alishikiliwa jumbe aliekua Rais wa sirikali ya mapinduz na makamo wa kwanza wa Rais...so hakuna jipya chini ya juaMimi natamani kufahamu mahali alipo. Yale maelezo ya Jaji mstaafu Joseph Warioba yanafikirisha sana. Kumshikilia mtu wa hadhi ya Makamu wa Rais, si dalili njema hata kidogo.
Wanasiasa tuwaachie mambo yao,hata sijui walihusianisha vipi hilo tukio.Kugombea tu pamoja ndio kuna fanya jamaa ahusishwe na kifo chake
Mke wake marehemu alikuwa mnyakyusa.Ipyana
Mzee malichela alikuwa anawapa watoto wake majina ya kinyakyusa
Apumzike kwa Amani.
RIp.
Huyu si alidai ana list ya drug dealers, ndio wenyewe wakapita nae fasta.Amina chifupa nae si alitamani hilo fupa la uvccm ama umesahau?
Aliutaka uenyekiti wa yuvisisyem, akajichanganya huko bungen et ana list ya wauza sembe, hapo ndipo nafas ilipatkana..ikabak stry wauza dona ndo wameimaliza kaziHuyu si alidai ana list ya drug dealers, ndio wenyewe wakapita nae fasta.
Mbona familia Ina majanga kama wanasakwa na mzimu wa KOLELODadake alifariki kwa kunywa sumu kisa mapenzi