Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 17,170
- 24,638
Hujatumia coe ila kukuelewa inahitaji msuliIpyana malelela yupo wapi Leo. Huyu ipyana aligombea iliwahi gombea na nchimbi UVCCM na Nchimbi yupo wapi Leo
Kihongosi na happy kuweni Makini
Jamaa ni mtu hatari sana huyu
Duuuh nimetoka patupu. Nilichoambulia ni hilo neno la " Ipyana,"Ipyana malelela yupo wapi Leo. Huyu ipyana aligombea iliwahi gombea na nchimbi UVCCM na Nchimbi yupo wapi Leo
Kihongosi na happy kuweni Makini
Jamaa ni mtu hatari sana huyu
Ipy aligombea umwenyekiti yuvisisiem mkoa wa Dar na alishinda,shangwe zikiendelea kwenda kuparty leaders then kokubichi na vijana wa istkosti na wale tiemkei haikufika saa kumi jioni jogoo akawa amewika kwa mzee Male...Ipyana malelela yupo wapi Leo. Huyu ipyana aligombea iliwahi gombea na nchimbi UVCCM na Nchimbi yupo wapi Leo
Kihongosi na happy kuweni Makini
Jamaa ni mtu hatari sana huyu
Akiwa na miaka 25 tu akawa ni mtu wa watuDaaah.
Umenikumbusha Ipyana Malecela.
Mmoja wa waasisi wa friends of Simba.
Siasa ngumu sana
Apumzike kwa amani Ipyana
Nyinyi watu wa zamani wekeni vizuri basi hii story tuijue na sisi kizazi cha nyukiIpy aligombea umwenyekiti yuvisisiem mkoa wa Dar na alishinda,shangwe zikiendelea kwenda kuparty kokubichi na vijana wa istkosti na wale tiemkei haikufika saa kumi jioni jogoo akawa amewika kwa mzee Male...
Kijana alikuwa anaufuata umwenyekiti wa yuvisisiem taifa,ikawa ndio hivyo maskini ya Mungu.
Ima alizodolewa sana lakini hekima za mzee Male...
Ipiiii... Ipiiii... wewe Ipiiii (in Male's voice)
Ipy alifariki siku moja baada ya kushinda uwenyekiti uvccm Dar.Nyinyi watu wa zamani wekeni vizuri basi hii story tuijue na sisi kizazi cha nyuki
Dadake alifariki kwa kunywa sumu kisa mapenziIpy alifariki siku moja baada ya kushinda uwenyekiti uvccm Dar.
Alisoma Highlands Iringa akiwa mcheza basketball mzuri
Kabla ya kifo chake kaka yake alikufa kwa ajali akiwa mwaka wa kwanza Ud,na dada yake Cath pia.
Alikuwa anajiandaa kwenda kwenye party Leaders,akawaacha wenzake chini nyumbani kwake akapanda ghorofani kubadilisha nguo,akashuka maiti...
So aliuawa?Ipy alifariki siku moja baada ya kushinda uwenyekiti uvccm Dar.
Alisoma Highlands Iringa akiwa mcheza basketball mzuri
Kabla ya kifo chake kaka yake alikufa kwa ajali akiwa mwaka wa kwanza Ud,na dada yake Cath pia.
Alikuwa anajiandaa kwenda kwenye party Leaders,akawaacha wenzake chini nyumbani kwake akapanda ghorofani kubadilisha nguo,akashuka maiti...
madhara ya wazazi kuwa na vyeo kwa njia za kishirikina.Dadake alifariki kwa kunywa sumu kisa mapenzi
Unamjua Mzee Malecela.So aliuawa?
Na hawana masalia yoyote yaliyobaki kwenye siasa kutoka familia yao?
Samahani kwa maswali tunduizi sijawahi kumjua wala kumsikia kabisa mimi kizazi cha nyuki
Ina maana Malecela ana kizazi kilichobakia kweli? Au kwa mkewe Anne Kilango ndio kipo maana wanawe wengi wametangulia niliowasikiaUnamjua Mzee Malecela.
Ndio Mzee wake sasa.
Nadhani yupo mmoja ni jaji kama sikoseiIna maana Malecela ana kizazi kilichobakia kweli? Au kwa mkewe Anne Kilango ndio kipo maana wanawe wengi wametangulia niliowasikia