PreGE2025 ๐——๐—ž๐—ง. Nchimbi anatarajia kuanzia ziara yake ya kikazi katika Mkoa wa Ruvuma

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,770
Reaction score
1,173
๐——๐—ž๐—ง. ๐—ก๐—–๐—›๐—œ๐— ๐—•๐—œ ๐—ž๐—จ๐—”๐—ก๐—ญ๐—” ๐—ž๐—จ๐—จ๐—ก๐—š๐—จ๐—ฅ๐—จ๐— ๐—” ๐— ๐—ž๐—ข๐—”๐—ก๐—œ ๐—ฅ๐—จ๐—ฉ๐—จ๐— ๐—”

๐™‰๐™ž ๐™ฏ๐™ž๐™–๐™ง๐™– ๐™ฎ๐™– ๐™ ๐™ž๐™ ๐™–๐™ฏ๐™ž ๐™ฎ๐™– ๐™จ๐™ž๐™ ๐™ช 5

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi , anatarajia kuanzia ziara yake ya kikazi katika Mkoa wa Ruvuma ambapo tarehe 2 Aprili 2025 atakuwepo Tunduru, 3 Aprili atakuwepo Namtumbo, 5 Aprili atakuwepo Nyasa na 6 Aprili atakuwepo Songea.

Ni wakati sasa wa WanaCCM na Wananchi wote wa Mkoa wa Ruvuma kujitokeza kumpokea kwa wingi na kuwa tayari kwa ujio wake.

#๐˜พ๐˜พ๐™ˆ๐™„๐™ข๐™–๐™ง๐™–
#๐™†๐™–๐™ฏ๐™ž๐™‰๐™–๐™๐™ฉ๐™ช๐™๐™ช๐™ฃ๐™–๐™จ๐™ค๐™ฃ๐™œ๐™–๐™ˆ๐™—๐™š๐™ก๐™š๐™‹๐™–๐™ข๐™ค๐™Ÿ๐™–
 
Attachments

  • IMG-20250401-WA0148.jpg
    IMG-20250401-WA0148.jpg
    124.5 KB · Views: 18

Atanguruma nini labda ataeleza faida za kununua umeme Ethiopia huku bwawa la Nyerere likizalisha umeme wa ziada.
 
Aungurumaye ni Simba pekee,

Kuku huwa anawika!

Nadhani Simba tayari unamjua.
 
๐——๐—ž๐—ง. ๐—ก๐—–๐—›๐—œ๐— ๐—•๐—œ ๐—ž๐—จ๐—”๐—ก๐—ญ๐—” ๐—ž๐—จ๐—จ๐—ก๐—š๐—จ๐—ฅ๐—จ๐— ๐—” ๐— ๐—ž๐—ข๐—”๐—ก๐—œ ๐—ฅ๐—จ๐—ฉ๐—จ๐— ๐—”

๐™‰๐™ž ๐™ฏ๐™ž๐™–๐™ง๐™– ๐™ฎ๐™– ๐™ ๐™ž๐™ ๐™–๐™ฏ๐™ž ๐™ฎ๐™– ๐™จ๐™ž๐™ ๐™ช 5

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi , anatarajia kuanzia ziara yake ya kikazi katika Mkoa wa Ruvuma ambapo tarehe 2 Aprili 2025 atakuwepo Tunduru, 3 Aprili atakuwepo Namtumbo, 5 Aprili atakuwepo Nyasa na 6 Aprili atakuwepo Songea.

Ni wakati sasa wa WanaCCM na Wananchi wote wa Mkoa wa Ruvuma kujitokeza kumpokea kwa wingi na kuwa tayari kwa ujio wake.

#๐˜พ๐˜พ๐™ˆ๐™„๐™ข๐™–๐™ง๐™–
#๐™†๐™–๐™ฏ๐™ž๐™‰๐™–๐™๐™ฉ๐™ช๐™๐™ช๐™ฃ๐™–๐™จ๐™ค๐™ฃ๐™œ๐™–๐™ˆ๐™—๐™š๐™ก๐™š๐™‹๐™–๐™ข๐™ค๐™Ÿ๐™–
Awahi mapema mana Operation No reform No Election inaanza tarehe tano asije kulaumu kukosa watu
 
Attachments

  • 20250331_221737.jpg
    20250331_221737.jpg
    132.2 KB · Views: 22
๐——๐—ž๐—ง. ๐—ก๐—–๐—›๐—œ๐— ๐—•๐—œ ๐—ž๐—จ๐—”๐—ก๐—ญ๐—” ๐—ž๐—จ๐—จ๐—ก๐—š๐—จ๐—ฅ๐—จ๐— ๐—” ๐— ๐—ž๐—ข๐—”๐—ก๐—œ ๐—ฅ๐—จ๐—ฉ๐—จ๐— ๐—”

๐™‰๐™ž ๐™ฏ๐™ž๐™–๐™ง๐™– ๐™ฎ๐™– ๐™ ๐™ž๐™ ๐™–๐™ฏ๐™ž ๐™ฎ๐™– ๐™จ๐™ž๐™ ๐™ช 5

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi , anatarajia kuanzia ziara yake ya kikazi katika Mkoa wa Ruvuma ambapo tarehe 2 Aprili 2025 atakuwepo Tunduru, 3 Aprili atakuwepo Namtumbo, 5 Aprili atakuwepo Nyasa na 6 Aprili atakuwepo Songea.

Ni wakati sasa wa WanaCCM na Wananchi wote wa Mkoa wa Ruvuma kujitokeza kumpokea kwa wingi na kuwa tayari kwa ujio wake.

#๐˜พ๐˜พ๐™ˆ๐™„๐™ข๐™–๐™ง๐™–
#๐™†๐™–๐™ฏ๐™ž๐™‰๐™–๐™๐™ฉ๐™ช๐™๐™ช๐™ฃ๐™–๐™จ๐™ค๐™ฃ๐™œ๐™–๐™ˆ๐™—๐™š๐™ก๐™š๐™‹๐™–๐™ข๐™ค๐™Ÿ๐™–
Kila la kheri our very able and vibrant CCM SG ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ’ช๐Ÿ‘Š
 
CCM walivyo wajinga wanafikiri wanaweza kuizuia Tsunami ya NO REFORMS NO ELECTION Watanzania wameshasema HOJA za CHADEMA zina mashiko.

Sasa hawa akina Nchimbi ambao ni wezi wa chaguzi wataenda kuwaambia nini Wananchi? Zaidi ya kuchukua kijana mmoja na kumvalisha tisheti ya CHADEMA na kusema kahamia CCM. hawana kitu cha kuwaambia Wananchi wa Tanzania.
 
Asisahau kuwambia wananchi sababu za kifisadi ,zilizopelekea kisijengwe kiwanda cha kufua chuma pale mchuchuma na ligama kwa tilion 7 ,na kuanza kununua chuma Toka china kwa tilion 20

hii money roundering ....kwann ccm isifunguliwe KESI ya uhujumu uchumi mana yenyewe ndo mdhamini wa serikali

Baghaladeshi kabisa
 
Mmesikia ,no reform no election inaelekea kusini mmeona mjaribishe huyu rafiki yake na lowasa huyu
hiyo dhana potofu ya kitapeli si imekataliwa na kupuuzwa na wanachadema wenyewe gentleman?

au wanaotangaza nia kugombea urasi,ubunge na udiwani kupitia Chadema mnadhani wanafanya ngonjera kama huyo kibaka mkuu wa siasa wa no reform no elections?๐Ÿ’
 
Nchimbi na Makala wanazidiwa mbali na Wassira..
Hawa hawana mvuto wa kisiasa kabisa.
Hawakujaliwa hiyo karama.
Wasira ni mzee lakini anashawishi kuendelea kumsikiliza hadi mwisho bila kujali anachosema kinakufurahisha au laa...

Nafasi ya makala alipaswa kuwepo David kafulila..
 
Back
Top Bottom