PostGE2025 Dkt. Mwigulu: Hatutarajii kuona vijana waliosamehewa kurudia vurugu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
505
Reaction score
887
Gen Z upepo wao unavuma muda wowote! Kwahiyo usishangae ukawaona tena!
============
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo amekagua Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Kisesa iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Magu mkoani Mwanza ambayo imeharibiwa na vurugu zilizotokea Oktoba 29, 2025.

Akizungumza na wananchi wa eneo hilo, amesema Rais Samia Suluhu alishatoa msamaha kwa vijana walioshiriki kwenye tukio hilo ambao walifuata mkumbo, hivyo serikali haitarajii watarudia vitendo hivyo tena.

Pppp.png
 
kwasababu Hakuna kosa walilolifanya au kukutwa nalo mpaka mahakama ithibitishe kosa kama wewe ndio uliechoma vituo vya petrol tutajuaje ?
 
Gen Z upepo wao unavuma muda wowote! Kwahiyo usishangae ukawaona tena!
============
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo amekagua Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Kisesa iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Magu mkoani Mwanza ambayo imeharibiwa na vurugu zilizotokea Oktoba 29, 2025.

Akizungumza na wananchi wa eneo hilo, amesema Rais Samia Suluhu alishatoa msamaha kwa vijana walioshiriki kwenye tukio hilo ambao walifuata mkumbo, hivyo serikali haitarajii watarudia vitendo hivyo tena.

wavimba_20251205_175447_0000.png

Amani ndio nguzo ya maendeleo ya Tanzania , bila utulivu hatuwezi kujenga uchumi imara, elimu bora, afya na fursa sawa kwa wote. Uhuru tuliopewa ni wajibu wa kuendeleza misingi ya waasisi wetu kwa kuungana, kushikamana na kulinda maadili ya taifa. Tunapoadhimisha siku ya uhuru, tuitumie kama nafasi ya kuombea Tanzania yetu, kuimarisha umoja na kuendeleza uzalendo unaotujenga kuwa nguvu moja dhidi ya changamoto za kijamii, kiuchumi na kisiasa. Maombi, mshikamano na upendo kwa taifa letu ndizo baraka na kinga ya Tanzania tunayoitamani. #uhuru #tanzania #africa #independence #december
 
Gen Z upepo wao unavuma muda wowote! Kwahiyo usishangae ukawaona tena!
============
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo amekagua Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Kisesa iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Magu mkoani Mwanza ambayo imeharibiwa na vurugu zilizotokea Oktoba 29, 2025.

Akizungumza na wananchi wa eneo hilo, amesema Rais Samia Suluhu alishatoa msamaha kwa vijana walioshiriki kwenye tukio hilo ambao walifuata mkumbo, hivyo serikali haitarajii watarudia vitendo hivyo tena.

Wasichokijua ni kwamba Serikali yao haipingwi na watu wawili watatu. Kila mpenda haki yuko against it. Hata kama wangeendelea kuwashikilia hao vijana mahabusu, mapambano yangebaki palepale. If anything, hasira ya umma wa wananchi ingekuwa kubwa zaidi.
 
Back
Top Bottom