Dkt. Mwaka: Wanawake wengi hawana hisia

Dkt. Mwaka: Wanawake wengi hawana hisia

Replica

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Posts
1,709
Reaction score
9,030
" Wanawake wengi hawana hisia... hawasemi tu lakini wako wengi na ukiongea nao wanakwambia wako ndani ya ndoa wana watoto wawili, watatu, wanne lakini ukimuuliza hivi lini umewahi kufika mwisho wa safari anauliza ndio vipi hivyo mbona mie sielewi? "Kwani na Mwanamke huwa anafika mwisho wa safari?".

"Hawajui na wapo kwenye ndoa. Unapaswa ufanye lile tendo huku ukilifurahia, lile ni tendo la furaha na kama hulifurahii, kama huna hamu nalo, kama hufiki katika kilele cha furaha ina maana kwamba una matatizo. Kwa hiyo nafikiri ipo pia haja ya kufikisha elimu kwa hawa kinamama, Wanawake na kinadada".

Amesema Dkt. Juma Mwaka @dr.mwaka kwenye Sasambu ya TBC FM
 
.
20230429_015929.jpg
 
Hii mbona ni kweli wengi huwa angalau na hisia pale kwenye ovulation baada ya hapo ni hakuna
Ila angalau wale wa 18yrs had 25 yrs bado Wana kakitu watafika mbali
 
Na easier nazo,sisi ili mradi unaingiza dyudyu na unatoa wadhungu basi,siku akizipata hisia poa Kama amepoteza hisia akazitafute au akanunue zingine.

Na kama hakojoi hapo atakojoa chooni kwao nyumbani kwao.
 
Hii mbona ni kweli wengi huwa angalau na hisia pale kwenye ovulation baada ya hapo ni hakuna
Ila angalau wale wa 18yrs had 25 yrs bado Wana kakitu watafika mbali
Tatizo analoliongelea huyu Mwaka ni kubwa kuliko anavyoliweka.
Kufika kileleni vile vile kunasababishwa na jinsi mwanaume anachukua nafasi yake.
Kama mwanaume ana kibamia au lahaula anfika kileleni hata ndani ya dakika 3, hapo mwanamke ataonyeshwaje njia ya kileleni.
 
Sisi walevi na waangalia porn haya mambo ya kileleni huwafikisha mpaka wengine huanza kusema Jesus,Yesu sijui mama. Na mikono juu kama wanaaga mtu aliepo darini😂😂
 
Huyu naye atulie Hana sera kwa akili ya kawaida mwanamke kufika kileleni itategemea pia na mtu aliyekutana naye mwenzake ndani ya sekunde kumi au dakika moja kasha mwaga bao chalii hivi hicho kilele Cha mlima atapanda na Nani?Na ukute ndio wale wa bao moja tuache kusingizia vikoba na kausha damu Kuna sababu nyingi
 
" Wanawake wengi hawana hisia... hawasemi tu lakini wako wengi na ukiongea nao wanakwambia wako ndani ya ndoa wana watoto wawili, watatu, wanne lakini ukimuuliza hivi lini umewahi kufika mwisho wa safari anauliza ndio vipi hivyo mbona mie sielewi? "Kwani na Mwanamke huwa anafika mwisho wa safari?".

"Hawajui na wapo kwenye ndoa. Unapaswa ufanye lile tendo huku ukilifurahia, lile ni tendo la furaha na kama hulifurahii, kama huna hamu nalo, kama hufiki katika kilele cha furaha ina maana kwamba una matatizo. Kwa hiyo nafikiri ipo pia haja ya kufikisha elimu kwa hawa kinamama, Wanawake na kinadada".

Amesema Dkt. Juma Mwaka @dr.mwaka kwenye Sasambu ya TBC FM
Amekuja kivingine
 
Kama kawaida yake, anawatafutia timing wajae, apige pesa.
 
Back
Top Bottom