Dkt. Mpango: Kasi ya Rais Samia ni kama Mayele

Tena ni sekta zote.,mfano kwenye Afya ,
Kabla ya mwaka 2022 Toka uhuru ilikuwa ukihitqji Huduma za mionzi zilipatikana Kwenye Hospitali za Kanda tuu..

Leo hii unapata Huduma hizo hospital zote za Mikoa na baadhi ya Wilaya Kwa gharama nafuu.

Yote haya yamefanyika chini ya Miaka 2 ya Urais Wake👇

Hii SGRA toka Dar to Morogoro kama 200km tu tumejenga miaka 5 sasa na mpaka sasa bado haijakamilika.

Tuwe makini na hizi construction projects tunazoziingia hovyo hovyo tena bila hata ya calculation ya baadaye tutapata nini.
 
Kadogosa Atupishe Anatuchelewesha Ssna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…