johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 85,237
- 144,325
- Thread starter
- #21
Ni mchaggaSiyo mchaga .hakuna mchaga mjinga hivo masai hilo la ngarananyuki .
Ni mchaggaSiyo mchaga .hakuna mchaga mjinga hivo masai hilo la ngarananyuki .
Cc LusungoNaibu waziri wa Afya Dr Mollel amesema Kazi zote alizofanya hayati Magufuli zilikuwa na mkono wa Rais Samia
Magufuli alikuwa anapakua Chakula kilichopikwa na Makamu wake jikoni ndio sababu miradi Yote aliyoacha Magufuli inakwenda kwa kasi.
Dr. Mollel amesema kwa mfano Hospital ya Rufaa Chato, Magufuli aliacha ujenzi ukiwa 40% na Rais Samia ameendeleza hadi sasa umefikia 98%
Source Star tv The Big Agenda
Muarusha acha ujuajiNi mchagga
Huyu mkoma naye akaage kimya tuNaibu waziri wa Afya Dr Mollel amesema Kazi zote alizofanya hayati Magufuli zilikuwa na mkono wa Rais Samia
Magufuli alikuwa anapakua Chakula kilichopikwa na Makamu wake jikoni ndio sababu miradi Yote aliyoacha Magufuli inakwenda kwa kasi.
Dr. Mollel amesema kwa mfano Hospital ya Rufaa Chato, Magufuli aliacha ujenzi ukiwa 40% na Rais Samia ameendeleza hadi sasa umefikia 98%
Source Star tv The Big Agenda
Ushahidi usiokuwa na shaka umethibitisha kuwa hawa panyaroad ndiyo hawa green guard na uvccmAmesema huwezi kutofautisha Wapinzani wa Maendeleo (Ufipa st) na panyaroad
Rubbish