Dkt. Mollel: Hayati Magufuli alikuwa anapakua Chakula kilichopikwa na mama Samia. Hawa ni kitu kimoja

Kama alikuwa anapakua kilichopikwa na huyo kwa nini kwa sasa vyote vimechacha?sgr imekufa kifo cha mende,miradi ya madaraja ya juu Dsm haina ubora(zinamabonde mabonde na nyembamba kiasi kwamba gari zinaweza kukwanguana),brt zote mbayambaya,bwawavla nyerere linasuasua haieleweki itaisha lini na miradi mingine mingi tu imechcha
 
Naibu waziri wa Afya Dr Mollel amesema Kazi zote alizofanya hayati Magufuli zilikuwa na mkono wa Rais Samia

Magufuli alikuwa anapakua Chakula kilichopikwa na Makamu wake jikoni ndio sababu miradi Yote aliyoacha Magufuli inakwenda kwa kasi.

Dr. Mollel amesema kwa mfano Hospital ya Rufaa Chato, Magufuli aliacha ujenzi ukiwa 40% na Rais Samia ameendeleza hadi sasa umefikia 98%

Source Star tv The Big Agenda
Cc Lusungo
 
Huyu mkoma naye akaage kimya tu
 
Back
Top Bottom