Dkt. Mollel afungua kampeni zake kwa mbwembwe Jimbo la Siha ''aliungurumisha dude''

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,053
28,245
IMG-20180121-WA0064.jpg
IMG-20180121-WA0068.jpg
IMG-20180121-WA0070.jpg
IMG-20180121-WA0070.jpg
IMG-20180121-WA0057.jpg

Kipyenga kimelia huko SIHA...Dr Godwin Mollel kama kawaida amelakiwa na wananchi wa kutosha na kumuahidi kumrejesha mjengoni akiwa upande wa CCM chama kinachoongoza na kushika hatamu.

Tukumbuke kuwa wabunge wengi wa Chadema wanakubali mabadiliko yanayoletwa na Serikali ya Magufuli ingawa wametiwa kufuli na viongozi wao wa Chama na kuitwa wasaliti kila wanapojaribu kushirikiana na Serikali ya CCM.Hii ndio sababu iliyomfanya Dr Mollel ambaye ni jembe msema kweli kwenye haki kuamua kujiondoa Chadema ili awe katika nafasi adhimu na rahisi ya kuwatetea wananchi wake wa SIHA.

Kama ni match CCM inaenda kukamilisha ratiba tu...kombe tayari liko mikononi.
 
Kipyenga kimelia huko SIHA...Dr Godwin Mollel kama kawaida amelakiwa na wananchi wa kutosha na kumuahidi kumrejesha mjengoni akiwa upande wa CCM chama kinachoongoza na kushika hatamu.

Tukumbuke kuwa wabunge wengi wa Chadema wanakubali mabadiliko yanayoletwa na Serikali ya Magufuli ingawa wametiwa kufuli na viongozi wao wa Chama na kuitwa wasaliti kila wanapojaribu kushirikiana na Serikali ya CCM.Hii ndio sababu iliyomfanya Dr Mollel ambaye ni jembe msema kweli kwenye haki kuamua kujiondoa Chadema ili awe katika nafasi adhimu na rahisi ya kuwatetea wananchi wake wa SIHA.
Mkuu naomba picha hata PM kama hauwezi kuiweka hapa hadharani
 
Kipyenga kimelia huko SIHA...Dr Godwin Mollel kama kawaida amelakiwa na wananchi wa kutosha na kumuahidi kumrejesha mjengoni akiwa upande wa CCM chama kinachoongoza na kushika hatamu.

Tukumbuke kuwa wabunge wengi wa Chadema wanakubali mabadiliko yanayoletwa na Serikali ya Magufuli ingawa wametiwa kufuli na viongozi wao wa Chama na kuitwa wasaliti kila wanapojaribu kushirikiana na Serikali ya CCM.Hii ndio sababu iliyomfanya Dr Mollel ambaye ni jembe msema kweli kwenye haki kuamua kujiondoa Chadema ili awe katika nafasi adhimu na rahisi ya kuwatetea wananchi wake wa SIHA.
Kama ungekua na kifua ungedhubutu kuweka picha nikuumbue hapa sasa hivi....
 
wakati mkiendelea kutafakari juu ya mgombea asiyeweza kujipigia kura huku SIHA shughuli ni watu
 
Naongelea uhalisia mkuu!

Hongereni sana, sasa subirini muone kampeni za cdm, ila msianze ule mchezo wenu mkiona watu mkaanza kutuma wahuni kukata watu mapanga. Kwa sababu hakuna kitu kinawaumiza kama mkiona watu wanaenda kwa wapinzani wenu. Simply hamna uvumilivu.
 
kwa nini mnapenda kuwa upande wa wanyonge?
Jana wakati Salum Mwalim anatangazwa kugombea na kuchukua fomu kuna mtu kakatwa na Panga?
 
Back
Top Bottom