Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli atinga Kagera, Mama Tibaijuka asema watampa kura za heshima na kusisitiza wao ni 'Natural Allies'. Magufuli amuahidi cheo

kamuahidi cheo gani hapo?

Viva Magu
Hapo ndipo anaponiacha hoi. Kila kona, ana ahidi vyeo! Kwa sasa hata push up atapiga. Atawaburudisha watu kwa kucheza, na kupiga ngoma.
We' subiri ashinde na kuapishwa, ndipo tutakapoona roho yake halisi ilivyo katili!
 
Chato ilikuwa mkoa wa Kagera kabla ya kupelekwa Geita,hao wote ni vizazi vya wakimbizi wakihutu wa miaka ya 1800
Sasa mbona kutwa yeye kuwasingizia wengine kuwa sio Raia? Anapata wapi ujasiri huu wa kiwendawazimu?
 
Mkoa wa Kagera huyu mzee anakwenda kupoteza muda wake tu, hawajasahau kauli zake za hovyo wakati wa tetemeko.

Ni vizuri akitumia mkutano huu kuwaeleza rambirambi zao za tetemeko zimekwenda wapi?
Sawa na wale wanaosema wakichaguliwa watafuta kodi lakini sasa hivi wanachangisha kwenye mikutano iko vipi hii
 
Mkoa wa Kagera huyu mzee anakwenda kupoteza muda wake tu, hawajasahau kauli zake za hovyo wakati wa tetemeko.

Ni vizuri akitumia mkutano huu kuwaeleza rambirambi zao za tetemeko zimekwenda wapi?
zimejenga shule ya sekondari Ihungo
watu wa mitandaoni mnaugua gonjwa baya sana
 
Magufuri tunaomba utujibu yafatayo:

1.Masilingi alikuwa mbunge unajua hakuna hata barabara ya lami kutoka mleba mpaka Nshamba kwao? Uzuri wake ni upi?

2.Tunaomba useme umefanya nini ndani ya miaka mitano kwa mkoa wa kagera?kumbuka meli ilikuepo na ikazamishwa na wa tendaji walioajiliwa na serikali ya chama cha mapinduzi. Hata hii uliyonunua usimamizi umerudi ule ule soon time will tel

3.kwa nini uliwatukana ndugu zetu wakati wa tetemeko la aridhi?

4.maswali ni mengi ila maisha hapo

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
serikale haijaleta tetemeko,ukimwi nyinyi,tetemeko nyinyi amesahau maneno yake?.kagera sio wajinga lazima tumpe lisu
 
We acha kuongea uongo
Hiyo barabara imeisha mmeshindwa kumaliza ya Rubya to Muleba mwaka wa nne sasa kilometre kidogo mtaweza ya nshamba?
Kituo kipi cha afya unachobwabwaja nacho
Nshamba kuna kituo gan tofauti na kutegemea cha Lutheran na hospital ya Rubya uwe na oja ya msingi
Na pesa zilikuwa za kufanya hiyo kazi?
lami Muleba- Kanyambogo...na sasa Kanyambogo- Nshamba!......
Rambirambi zilijenga shule Ihungo, zahanati, vituo vya afya pamoja nai vifaa tiba au wewe ulitaka zifanye nini Kamanda?
 
We acha kuongea uongo
Hiyo barabara imeisha mmeshindwa kumaliza ya Rubya to Muleba mwaka wa nne sasa kilometre kidogo mtaweza ya nshamba?
Kituo kipi cha afya unachobwabwaja nacho
Nshamba kuna kituo gan tofauti na kutegemea cha Lutheran na hospital ya Rubya uwe na oja ya msingi
Na pesa zilikuwa za kufanya hiyo kazi?
iwe malemwa aka Uchovu!
 
Back
Top Bottom