Dkt. Kipilimba, sasa yatosha!

Mawazo ya kimasikini haya.

Vijana wasitafute maisha wakakae jeshini kisa uzalendo?

Upumbavu wa hali ya juu.
 
Ameshapumzishwa.
 
... Nakumbuka Tukio moja (siwezi kulitaja) nilikuja kushtuka mission accomplished muda mrefu kumbe yule jamaa alikuwa TISS na akapotea kama jini....

ACHA NIWE MTABIRI WA TUKIO HILO, NALO NI "TUKIO LA AJALI YA KUCHONGWA ILIYOTOKEA HUKO MOROGORO (1984), NA KUSABABISHA KIFO CHA KIGOGO MMOJA ALIYEKUWA WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA😛😛"

Ouch!!, kumbe naota!!!
 
Unauhakika gani kipilimba bado ni ceo wa tiss? Je unaweza kuamin kama ameshatenguliwa?
Jioni hii n njema.
achaneni na kigogo. Huyu jamaa aliandika hiki kitu tarehe 29.... mwezi uliopita
 
"Leo ameamua kuthibitisha"
Ramark sep 12
 
.....
....Mkuu upo
 
Pole kwa kazi mkuu
 
Ujue binadamu sisi ni watu wa ajabu sana. Mwenzio akiandika mada ukiona imekaa upande mmoja na we huna info za kutosha basi jiwie msomaji tuu. Kuna watu wameumbuka kwenye huu uzi
 
Kiongozi umeadimika jukwaani
 
Sio kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…