Dkt. Kipilimba, sasa yatosha!

Yaani muandamanaji mmoja amebeba bango eti Nyie Wasauzi tuliwasaidia kuwashinda makaburu duh!

Sasa ina maana kama uliisaidia nchi kupata uhuru ndo uingilie utaratibu wake wa kujiendesha kama taifa huru?
Hapo kwenye bold, huyo muandamanaji alishindwa kuelewa kwamba huyo mkulima nae ni KABURU and hence kaburu analipiza KISASI!? Anyway, nakubaliana na mleta UZI, TISS ijikite kwa uzalendo wa nchi badala ya kua wazalendo kwa chama, hayo mambo ni ya kijinga, uzalendo kwa chama unatengeneza NYUFA za Umoja wetu cause utawachukia wasio wana ccm na kuwapenda na kuwapendelea wana ccm hata kama ni WAJINGA tu, mfano ni wa hao waandamanaji
 
Unaijua vizuri idara inafanyaje kazi zake au unaropoka kutokana na kudanganyana kwenye kahawa?
 
Wewe ndio unawalisha wakulima wa korosho..hii ndio mara ya kwanza mapato ya pesa za kigeni kushuka, akili ya kunguni kabisa..kazi kupanua domo kulalama hata kwa vitu vidogoo, utakufa masikini nyau wewe..fanya kazi.
 
Nakubaliana kwa 100% ya maelezo yako yote na sijaribu kuamini kutokujua kwao lkn hoja za mtoa post si za kubeza zina ukweli fikirishi na kama kiongozi mzuri ukimwambia mtu hii ni A akakataa na kukuambia ni B better resgin .

Huyu amemaanisha kuwa aidha
1. Ku resgin kwa kushindwa kuelewa in advance i.e kutojua

2. Ku resgin kwa kushauri professionally ushauri wako ukawa dropped kwa maana kama wewe ni injinia ukasema nondo mm 20 ndio itafaa halafu mtu wa juu asiye professional akasema weka 10mm je jengo likikolapsi nani alaumiwe?

Uki sawa mkuu ila angalia na hoja hizi.

Who can stand Tall . Ndio ngumu
 
Haswaa umenena vyema mkuu tatizo meno
 
Wewe ndio unawalisha wakulima wa korosho..hii ndio mara ya kwanza mapato ya pesa za kigeni kushuka, akili ya kunguni kabisa..kazi kupanua domo kulalama hata kwa vitu vidogoo, utakufa masikini nyau wewe..fanya kazi.
Maskini ni wewe unayeshinda mitandaoni kutetea uwongo ili mradi wewe NA familia yako mmelipwa mshahara.
Mimi sio maskini ndio maana nipo huru hata kumkosoa huyo mumeo kilaza unayemuabudu. Unaishi kwa kutetea uovu! UTATUMIA NGUVU NYINGI SANA KUTETEA UOVU ILA KILA KITU KIPO WAZI, WATANZANIA SIO WAJINGA.
 
Ngoja nami nianzishe thrd ya kutukana serikali ili nipewe likes kibao! Sina uhakika wa ubora wa wanaonipa likes lakini potelea mbali!
 
Ngoja nami nianzishe thrd ya kutukana serikali ili nipewe likes kibao! Sina uhakika wa ubora wa wanaonipa likes lakini potelea mbali!
Kwenye thread yangu hii Kuna tusi lolote?
Highlight tusi lolote Kama lipo, nakupatia sh 500,000 kwa M Pesa
 
Naunga mkono

Hii hali ya kushangilia mabaya kwa watanzania wenyewe tukielendelea kuilea tunatengeneza raia ma puppet mkuu.

Mwisho jkt iwe miaka miwili kwa wahitimu
 
Kuna kashfa nyingi za kifisadi zimetokea ktk nchi hii in the open view of what you call Tiss tena wakati mwingine hata wenyewe wakiwa party lkn ikaisha tu hivyo.

So to say, your praise to them is devoid of basis as the institution's right to exist lacks public support. The institution has outlived its usefulness and it's slowly turning out to be a liability rather than an asset to the country's folks.
 
Kula Like mleta mada ingawa nimesahau kubonyeza kitufe husika.

Jambo la msingi ni kukubali udhaifu uliopo, kufanya reforms na kufanya kazi kwa misingi ya kazi na siyo vinginevyo.
Ni vizuri kufikiria kubadili mfumo wa utendaji kazi kulingana na mabadiliko ya teknolojia ya sasa na siyo mfumo wa siasa ya nchi. Aidha si rahisi kujitokeza hadharani na kueleza chanzo cha tatizo, na hapo ndipo hoja ya kujihudhuru inakuja.
 

Umenena kweli kabisa, kwenye maswala ya kuwatafuta watesi wanaowakosoa.... ni wepesi sana....(inawezekana ni kutokana na sababu ya jamaa alosema ya kuwa pamejaa mayuvccm) lakini kwenye maswala ya kutumia akili kwa maslahi ya taifa... wamefeli sanaaaaaaa..... ni kama wameshikwa na bumbuwazi, the dont know what they are doing for this country........

Ili waonekane wanafanya, wafanye maamuzi yanayoleta matokeo ya kuisafisha nchi na si kinyume.

kwa sasa wanachofanya ni ushuzi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…