Dkt. Kimei(CRDB): Hali ya uchumi nchini ni tete

Status
Not open for further replies.
Kimei acha kutisha watu... niko katikati ya jiji la Dar, DSE iko sawa.. umetumia instrument gani kusema UCHUMI HALI TETE..?

DSE ndio indcator ya haraka kidogo... au katumia macho..? Dr. Kimei nia yake hapo ni kuongelea hiyo VAT.. ili tu afikishe ujumbe.. kuwa VAT anapinga.. kasema indirectly..!!

Kama CRDB ilizoea fedha za madili toka serikalini sasa hakuna.. anaona net flow inapungua CRDB.. asiseme hali ya UCHUMI ni tete..

Aache kututisha..!!

NMB pia hawakopeshi mbona?? Hivi VAT analipa benki mpaka yeye ailalamikie?
 



Dk. Charles Kimei

BENKI ya CRDB imesema imepunguza kasi ya utoaji mikopo kuangalia hali ya uchumi nchini inavyokwenda.

Akizungumza Dar es Salaam jana, Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo, Dk. Charles Kimei, alisema kwa sasa beni hiyo inaangalia ni sekta ipi yenye mwelekeo wa kukopesheka.

“Kipindi hiki ni cha mpito bado watu hawajatulia, tunaangalia ni sekta ipi yenye mwelekeo kwa sababu kama hoteli zinayumbayumba lazima tusubiri hali ikae vizuri.

“Sisi tunasimamia fedha za watu hivyo hatuwezi kucheza nazo, tunazidi kujipanga kufuatana na sera ya Serikali,” alisema Dk. Kimei.

Akitoa mfano, alisema sekta za mafuta na gesi ni kama vile zimesimama hivyo CRDB inasubiri hali ikae vizuri iweze kufanya tathmini.

“Mikopo mingine kama ya watu binafsi tunaendelea kuitoa na kama ni waajiriwa waje watapewa lakini katika sekta nyingine hali imekuwa tete sana,” alisema.

Serikali ilieleza kuwa miongoni mwa maeneo ya vipaumbele yatakayozingatiwa kama yalivyoainishwa katika Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2016/17 ni pamoja na kuendeleza huduma za fedha, biashara na masoko.

Hata hivyo, hatua ya Serikali kutangaza mkakati wa kupunguza na kuondoa matumizi yasiyo ya lazima imeanza kuathiri sekta nyingi ikiwamo ya fedha.

Licha ya mkakati wa kubana matumizi, pia Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) katika ada ambazo benki inatoza wateja wake kwenye huduma mbalimbali zinazotolewa ni miongoni mwa vitu vilivyochangia mtikisiko huo.

Wakati akisoma bajeti ya serikali bungeni kwa mwaka 2016/17, Waziri wa Fedha, Dk. Philip Mpango, alisema serikali inakusudia kutoza VAT katika huduma za benki zinazotozwa na benki zote nchini ili kupanua wigo wa kodi.

Chanzo: Mtanzania
Hii habari iliyoandikwa hapa haina ukweli wowote.Wengine tunafuatilia speech za Dr Kimei na hakuwahi kusema yaliyoandikwa hapo juu.Gazeti la Mtanzania wamepotosha habari na sio jambo la busara kupindisha taarifa.mnawachanganya wananchi.
Narudia tena hayo maneno hayajazungumzwa na Dr Kimei labda yamewekwa ili kuuza gazeti.
 
Wauza Unga ndio wazungushao pesa Mjini sasa kuandamwa wao ndio Pesa mtazisikia tu...
 
Jamani kuna njia nyingi za kuvutia wateja kununua magazeti. Kutoa taarifa ambazo sio za kwel ni kupotosha jamii. Dr.Kimei hakuongea hayo. Benki ya CRDB haijasitisha mikopo kwa sababu hizo. Mm ni mteja wao na Nina furahia huduma zao.
 
Hii habari iliyoandikwa hapa haina ukweli wowote.Wengine tunafuatilia speech za Dr Kimei na hakuwahi kusema yaliyoandikwa hapo juu.Gazeti la Mtanzania wamepotosha habari na sio jambo la busara kupindisha taarifa.mnawachanganya wananchi.
Narudia tena hayo maneno hayajazungumzwa na Dr Kimei labda yamewekwa ili kuuza gazeti.
Team Lowassa huyo aishie huko huko na akina SIOYI wake.
 
Kwa nini amezungumzia 'Hotel' ni ile mikutano yao ileeee!! Dr naye asituchanganye mfano wa uchumi kushuka ni hotel tuuuuuuu? Mwamba ngozi huvutia kwake! Bank mlijikopesha pesa za wenyewe zirudisheni! Kuna mama mmoja hapo CRDB analipwa kufuru. CRDB rudisheni pesa za watu acheni longalonga
Huna tofauti na MTU aliyelala mauti!!
 
Hii habari iliyoandikwa hapa haina ukweli wowote.Wengine tunafuatilia speech za Dr Kimei na hakuwahi kusema yaliyoandikwa hapo juu.Gazeti la Mtanzania wamepotosha habari na sio jambo la busara kupindisha taarifa.mnawachanganya wananchi.
Narudia tena hayo maneno hayajazungumzwa na Dr Kimei labda yamewekwa ili kuuza gazeti.
Lete uthibitisho wa ukweli aliosema Dr..Kimei..ili tusiendelee kupotoshwa
 
Jamani kuna njia nyingi za kuvutia wateja kununua magazeti. Kutoa taarifa ambazo sio za kwel ni kupotosha jamii. Dr.Kimei hakuongea hayo. Benki ya CRDB haijasitisha mikopo kwa sababu hizo. Mm ni mteja wao na Nina furahia huduma zao.
Basi hatuna haja ya kuwa na magazeti kama njia ya kutupasha habari kama habari zenyewe za kutunga.
 
Tukiwaambia hali mbaya mtaani mnasema tunao lalamika ni mafisadi, haya oneni sasaa
 
Ikiwa uchumi wa G7 unahangaika unategemea uchumi wa tz au nchi changa kuwa wapi?
The US sneezes, the world catches a cold - Free Business Essay ...
www.essay.uk.com › free-essays › the-w...
Mobile-friendly - The US Sneezes, the World catches a cold. ... If this essay isn't quite what you're looking for, why not order your own ...
When the US sneezes the world catches cold - PravdaReport
www.pravdareport.com › world › americas
18 Mar 2008 - You know the saying that ifyou owe the bank one hundred thousand dollars you are in trouble, but if ...
BBC NEWS | Business | Warning about US economic slump
news.bbc.co.uk › business
23 Jan 2008 - But there is an old economic saying: "When the US sneezes, the worldcatches a cold," and the panellists were divided about whether it still holds true. Mr Roubini was the most ...
What does the quote " when america sneezes the world catches a ...
Home | Yahoo Answers › question
Mobile-friendly - 23 Jan 2013 - What does the quote " when america sneezes the world ... their products...so if we "sneeze" (our economy goes down hill ... it was 'When the US (economy) catches a cold, the world ...
When America Sneezes, Cliches Spread : NPR
www.npr.org › templates › story › story
Mobile-friendly - 24 Jan 2008 - Quote: "When the U.S. sneezes, the rest of theworld catches cold." ... If the Hang Seng Index catches a cold, it's far more likely to come from shaking America's hand, which is a much ...
The US sneezes and the UK still gets a cold | Comment | Voices ...
www.independent.co.uk › ... › Comment
Mobile-friendly - 6 Jan 2013 - So the art of cliff diving is not going to be practised by the US – for now, anyway. Fights over the debt ...
If other countries sneeze, will US catch a cold? An expert's case for ...
www.foxnews.com › us › 2014/07/22 › i...
Mobile-friendly - 22 Jul 2014 - Maybe the rest of the world will sneeze this time, and the U.S. will get sick. That's the view of David ...
When the U.S. Sneezes the World Catches Cold: Are Worldwide ...
ssrn.com › ...
by S Suardi - ‎2012 - ‎Cited by 7 - ‎Related articles
2 Nov 2012 - There is a widespread belief that the US subprime mortgage crisis has escalated into a full-blown ...
ELIF CEPNI on Twitter: ""If the US sneezes the world catches a cold ...
Twitter › elif_cepni › status
Mobile-friendly - 9 Jan 2016 - "If the US sneezes the world catches a cold" expression is now turning into " if China sneezes the rest ...
How to react when you hear: 'When America sneezes the whole world ...
Quora - The best answer to any question › How-do-you-re...
Mobile-friendly - How do you react when you hear: "When America sneezes the whole world catches a cold"? ... TheUnited States of America ... If its true that 'When US economy sneezes, the worldcatches a cold', and ...
Sijui nasoma kwa makengeza mimi?! Maana nimeshindwa kupata correlation ya comment hii na mada ubaoni!
Hivi ni kweli kwamba kudorola uchumi wa amerika kinaweza kuwa kigezo cha anguko la uchumi wa Tanzania ambao presumed cause ni malmanagement ya mtu?!
 
kesho utanshangaa ba NMB wakipongeza benk yao kuwa imara, ilimradi tu kushindana na CRDB
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom