DOMASA
Member
- Jun 19, 2012
- 16
- 10
Akizungumza leo akiwa Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), Mkurugenzi wa Jiji la Arusha, Dkt John Pima amesema:
One of big investments ambazo Serikali imefanya kwenye jiji letu la Arusha kupitia mapato ya ndani ni kujenga hospitali kubwa. Tunaanza sasa kitu kinachoitwa medical tourism.
Tutajenga hospitali kubwa ambayo itawafanya wageni wote wanaotoka nje ya nchi na ndani ya nchi wenye insurance zile kubwa...mfano amekwenda Serengeti au Tarangire akapata shida, anaweza kufuatwa na helikopta na kuletwa kwenye kituo chetu kutibiwa. Tutakuwa na madaktari wote ambao ni muhimu. Ma-specialist wote watakuwa pale.