Dkt. John Magufuli anasema...

Dkt. John Magufuli anasema...

Mkamba Mmasai

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2015
Posts
384
Reaction score
65
DHAMIRA YANGU.

Dhamira yangu kubwa ni kuwa kiongozi wa mfano Afrika yote kwa kuipeleka Tanzania kwenye uchumi wa Kati. Nadhamiria kujenga viwanda vingi sana na kuvifufua vyote vilivyopo nchini lengo ni kuongeza thamani maligafi zetu na kuwapatia watu ajira.

Nimedhamiria kufanya kazi usiku na mchana, uwezo huo ninao sina shaka nao hata kidogo. Matamanio ya watanzania nayajua ninaenda kuikata kiu yenu na hutakaa ujutie kunipa kura yako. Sina sababu ya kuomba nafasi hii kama nitaendeleza yale mnayoyachukia, sina sababu kama sitawaletea maendeleo.

Nipe kura yako tukafanye kazi kwa uaminifu mkubwa, nataka watanzania wote wawe wazalendo kwa nchi yao. Hatuwezi kuendelea kama hatuna uzalendo na Taifa letu. Waliokwisha kuliibia taifa hili nawapa muda wa kutubu bado kabla sijaapishwa.

Niombee Kura ili nishinde kwa asilimia 90+ mpaka sasa uhakika wa asilimia 80+ upo ila naomba uongeze kasi ya kuniombea kura ili ziongezeke zaidi. Nitakuwa Raisi wa watu wote hata Ukawa Nipeni kura zenu wekeni vyama pembeni twendeni kulijenga taifa letu. NICHAGUE

12115888_1635261233399709_117028456180618523_n.jpg

Kazi.....kazi...kazi.....
Chagua mtoto wa masikinmi mwenzetuuuuu... ambe hana kashfaaaa
 
Usipoteze kura yakooooooo......chagua mwadilifuuuuuu
 
Tumbukiza kura yako chooni kuliko kumchagua magufuri
 
magufuli anakwenda kuanzia wapi?? Mbona kila mahali atakapoanza napo kuna mkono wa mtangulizi wake???

Huo ufisadi unaozungumziwa kwenye majukwaa leo, nafikiri ndio mwisho hamtausikia tena,

na wala haiwezi kuwa sehemu ya agenda za makufuli mwaka 2020.

Jiandaeni kulipelea tena taifa kwenye utumwa!!
 
Subiri kiboko yenu Magufuli anakuja soon na huyo fisadi wenu mtaona moto, acheni kutapa tapa, kaaeni mkao wa kunyolewa
 
ndio ninyi mliozaliwa kwenye system,

na mko tayari kuitetea system maana hamna nyenzo nyingine ya kuendeleza maisha baada ya System kung'olewa!!

Jifunze kujitegemea!!!

Usiishi kama UYOGA,

Subiri kiboko yenu Magufuli anakuja soon na huyo fisadi wenu mtaona moto, acheni kutapa tapa, kaaeni mkao wa kunyolewa
 
Back
Top Bottom