Alwatan Mabruki
Senior Member
- Sep 20, 2020
- 132
- 118
Mbona hajaongelea ubaguzi wa ajira kiitikadiDkt. Mwinyi aonya ubaguzi wa kidini.
Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) amesema bado kuna chembechembe za ubaguzi wa kidini kati ya wapemba na waunguja, wa Tanzania bara na Wazanzibari. Ikiwamo pia ubaguzi wa kijinsia, lakini aahidi atajitahidi kadri Mungu atakavyomsaidia kupambana na suala hili la (ubaguzi).
Asema jukumu la Serikali ni kuhakikisha inakuza Uchumi, inaweka sera nzuri za kuwawezesha Wananchi kutimiza majukumu yao ya kila siku, na viongozi wa dini jukumu lao ni kuendeleza maadili kwa jamii.
Asema angependa kuona kila mtu ana uhuru wa kuabudu dini aitakayo. Alisema changamoto nyingine za ardhi, mali, taasisi za dini na unyanyasaji, zinaweza kupatiwa ufumbuzi na kufanyiwa kazi.
Ubaguzi wa kidini kati ya wapemba na wa Unguja umekaaje.Nadhani huu ni mtazamo wa wabaya wa Zanzibar wenye kuleta chokochoko kama zile za mwaka 1964. Hata huyo mgombea mwenyewe hawezi kusema maneno hayo.Dkt. Mwinyi aonya ubaguzi wa kidini.
Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) amesema bado kuna chembechembe za ubaguzi wa kidini kati ya wapemba na waunguja, wa Tanzania bara na Wazanzibari. Ikiwamo pia ubaguzi wa kijinsia, lakini aahidi atajitahidi kadri Mungu atakavyomsaidia kupambana na suala hili la (ubaguzi).
Asema jukumu la Serikali ni kuhakikisha inakuza Uchumi, inaweka sera nzuri za kuwawezesha Wananchi kutimiza majukumu yao ya kila siku, na viongozi wa dini jukumu lao ni kuendeleza maadili kwa jamii.
Asema angependa kuona kila mtu ana uhuru wa kuabudu dini aitakayo. Alisema changamoto nyingine za ardhi, mali, taasisi za dini na unyanyasaji, zinaweza kupatiwa ufumbuzi na kufanyiwa kazi.
Hivi mwinyi alikua wapi wkt ccm wanatengeneza ubaguzi zanzibar? Au walikubaliana kamati kuu kua tuliopo tunatengeneza ubaguzi alafu tutakupitisha wewe ili uje uondoe ubaguzi?
Ni lini na wapi Mwinyi amewahi kukemea ubaguzi huu wa ccm?
This is total foolishness!
Mpeni Maalif Seif nchi yake
Huwezi kufanya majaribio ya kuongoza kwa miaka 60....Maalim Seif ni mzanzibari mzalendo anatosha sana...Nchi haitolewi kama chumvi, wazanzibari wamesema ni mwinyi tu