Dkt Hussein Mwinyi aongoza kikao cha Kamati kuu maalum ya CCM

CM 1774858

JF-Expert Member
May 29, 2021
5,084
4,301
IMG-20240519-WA0118.jpg

DK.MWINYI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM, ZANZIBAR

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi ameongoza kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui, Zanzibar tarehe: 19 Mei 2024

IMG-20240519-WA0100.jpg

IMG-20240519-WA0148.jpg
 
Hongera sana CCM, Hongerà Dkt Mwinyi hongera Mzee Kínana, Hongera Mongela, Hongera Dkt Nchimbi hongera Amos Makalla.
 
Hiki ndio chama kilichobeba matumaini na mamillioni ya watanzania. Chama kiongozi barani Afrika na ndio maana vyama mbalimbali huja kujifunza hapa masuala ya uongozi na namna ya kuendesha chama kitaasisi.

Tofauti na CHADEMA ambao chama kinaongozwa kwa kumtegemea mtu mmoja ambaye anatembea nacho mfukoni kama mali yake huku nafasi ya mwenyekiti ikiwa imemilikiwa bantu mmoja tu na wengine kuwa kama wasindikizaji au watu wasio na uwezo wa chochote kile.

Asante sana Mkuu kwa kuendelea kutuletea habari ya chama chetu pendwa na Tumaini la watanzania.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom