Dkt. Hussein Mwinyi adai Mzee Mwinyi hakuagiza azikwe Mkuranga

Wazazi wake wamezaliwa wapi?
Wazazi wake wamezikwa wapi?
Na yeye Mwinyi amezaliwa wapi?
Mtu kupelekwa mahali nje ya nyumbani iwe ndani nchini au nje ya nchi kwa ajili ya masomo na kutafuta maisha, hata akae muda gani, haihalalishi kuwa ndio nyumbani kweao!
Matendo ya mzee mwinyi yanaonesha ya kwamba hakuwa na habari tena na Tanganyika.

Ungekosa muungano asingekuja na kuishi huku bara. Bara alikuja kwa ajili ya kazi baada ya muungano
 
Si dhani kwani Hao waliomuuliza wao wenyewe hawana kwao
Yeye baba yake ni mwarabu wa kutokea yemen.....aliyezaliwa unguja.......hao waliomuuliza...wenyewe babu zao ni wamanyema wa kongo au ujiji......na wengine baba zao ni waarabu au machotara wa kiarabu.
Issue ilikua madaraka 🤣🤣
 
Aliyekuambia Mbeya ni ya wanyakyusa tu ni nani ?
Kule Wakinga walienda Kufanya Vibarua vya Kupasua Mbao Maporini Wakitokea Iringa /Njombe na Wakatajilikiemo humohumo. Unachotakiwa kujua Mbeya ni Mkoa wa Wanyakyusa na Wasafya Wengine Wenyeji wa Mbeya ni Wamalila (Songwe kwasasa), Wanyia (Songwe Kwasasa), Wandali. Haya Makabila ndiyo yenye asili ya Mbeya. Sugu ni Mkinga kwao ni Iringa (Makete).
Lakini Cc Watu wa Mbeya tulimchagua hata hatukuuliza Kabila lake wala dhehebu lake wake Umri wake. Sasa nyie hizo Mambo za Kutaka kuwajadili Watu kuwa Walizaliwa Wapi sijui waligombea Wapi sijui Wanazikwa Wapi huu si Upuuzi wa hali ya Juu.
Kwani Hao Wanaohoji si ni Masikini wa Fikra.
Nimetolea Mfano siyo nikiwa na Maana Mbaya kwa Jamii ya Wakinga kuwa hawana haki ya Kuishi Mbeya sina maana ya hovyo hivyo ila nataka wasiojielewa walitambue.
 
Alipokuwa mbunge wa Mkuranga, aliukana uzanzibari. Leo kapachikwa Zanzibar kawa Rais, analazimisha uzanzibari na kuukana Utanganyika.
 
Yeye baba yake ni mwarabu wa kutokea yemen.....aliyezaliwa unguja.......hao waliomuuliza...wenyewe babu zao ni wamanyema wa kongo au ujiji......na wengine baba zao ni waarabu au machotara wa kiarabu.
Issue ilikua madaraka 🤣🤣

Baba yake hatokei Yemen hao waliokudanganya sijui ni akina nani . yeye ni Mpemba wa Mkoani . Salim hana asili yoyote ya ushihirini.

Waliomuuliza ni wavamizi kutoka Tanganyika waliosaidiwa na Mvamizi mwenzao Laanatullahi Nyerere kukaa madarakani
 
Huseni ameogopa
kutengwa na wanzazibar angezikwa tu huku tanganyika. Wangemdhoofisha kisiasa wangesema huyu sio mnzazibar bali ni mtanganyika

Kwani hakuna watanganyika waliozikwa Zanzibar ?? Hata azikwe wapi haibadilishi kuwa yeye ni Mtanganyika wa kuzaliwa
 
Zanzibar wana katiba yao ambayo haiwatambui watu wa Tanganyika kama ndugu zao

Mwinyi sio mnzazbar ni mtanganyika wa mkuranga

Mtu wa Tanganyika haruhusiwi kumiliki ardhi zanzibar lakini wanzazibar wanaruhusiwa huku Tanganyika

Mnzazbar anaruhusiwa kugombea uongozi Sehemu yeyote ile Tanzania lakini sisi Tanganyika ni Tanganyika tu

Ndivyo baba yenu wa Taifa alivyopiga mahesabu yake wakati akiivamia Zanzibar , Liliobaki ni mtuwache tuwe huru au tuendelee na hesabu za Laanatullahi Nyerere
 
Mambo ya akina mwinyi na uzanzibar unavuruga ,Mwinyi ni mtu wa mkuranga na itabaki hivyo

Tatizo linakuja sheria za zanzibar zinamuhitaji mnzanzibar awe Rais wa nchi

Mwinyi anakumbana na upinzani sana wa chini kwa chini ndani ya wana ccm wazanzibar toka kwenye kugombea

Hao ACT wazalendo wanatumia uraia kama fimbo ya kumchapia Mwinyi kila akinyanyua kichwa

Technically wangemzika Hayati Baba yake Mkuranga ndio ingekuwa sasa amejichimbia tanuru la moto kisiasa na yeye anakiri wasiomtakia mema ndio wanachochea
Mwinyi hata sijui kwann ana waswas maana kwa siasa za Zanzibar hata asipofanya kampeni 2025 anapita asbhi na mapema tu hakuna upinzani Toka aondoke Maalim Seif, atulie tu afanye kazi wananchi wanaona kazi anayoifanya .
 
Angekaa zake kimya tu, huyu jamaa Huwa hawezi Kukaa na jambo kifuani yaani yeye akisemwa kidgo tu anakimbilia kujibu wakina Charles Hilary wamshauri vizur boss wao kwamba sio Kila kitu anatakiwa kujibu mengine akae kimya awaachie wengine.
Rais akharibu hakuna qakurekbisha lkn wasaidizi wake wKiharibu rais aweze tengeneza.

Ajifunze kukaa kimya, hizi taarabu na ngonjera kwa rais hazifai...hana kifua? Atajibu kila hoja?
 
Kwani shida iko wapi, Marehemu Mzee Karume alikuwa Rais wa Zanzibar hakuzaliwa Zanzibar na alizikwa Zanzibar, Marehemu Mzee Aboud Jumbe Mwinyi alikuwa Rais wa Zanzibar hakuzaliwa Zanzibar na amezikwa Zanzibar, sasa shida iko wapi ??? na kwanini Mwinyi asizikwe Zanzibar.
Mzee Ali Hassan Mwinyi amekulia Zanzibar toka akiwa na umri wa miaka minne, kasoma shule za Zanzibar, kaanzia kazi ( civil servant) Zanzibar, kaanzia Siasa ( ASP) Zanzibar sio TANU/TAA, kawa waziri na baadae balozi katika SMT kuiwakilisha Zanzibar, kawa Rais Zanzibar, kawa Rais wa Jamhuri kwa kofia ya Zanzibar. kwanini amezikwa Zanzibar imekuwa sasa ni hoja ??? kuna tatizo mahali
 
Baba yake hatokei Yemen hao waliokudanganya sijui ni akina nani . yeye ni Mpemba wa Mkoani . Salim hana asili yoyote ya ushihirini.

Waliomuuliza ni wavamizi kutoka Tanganyika waliosaidiwa na Mvamizi mwenzao Laanatullahi Nyerere kukaa madarakani
Waulize wenyewe wabantu wa unguja na pemba waliowafukuza wakoloni waarabu......wanasema baba yake na babu yake walikua waarabu walowezi wa kutoka Yemeni na sio Oman..........ila mama yake ndio mbantu..........!!!
Sasa wabantu wa bara si walikua wanachukua visiwa vyao kutoka kwa wakoloni wa kiarabu..........na wabantu woote wa unguja na pemba si wametokea bara?????
Au wewe unajua wabantu wa zanzbar wametokea wapi???
NB: TATIZO LAKO WEWE UMETOKEA VIZAZI VYA WATUMWA WAKIBANTU KWA WAARABU WA ZANZBAR NDIO MAANA UNAMLAUMU KARUME NA NYERERE KUWAFUKUZA WAARABU........🤣🤣🤣🤣🤣 NAONA UWATUKANA KIARABU KWA JAZIBA 🤣🤣
 
Niwaulize nani na ni jamaa yangu , Nyie watu mumezidi . Nyinyi wakristo wa Tanganyika mnaumwa sana na Zanzibar , kila wakati mnaweweseka Zanzibar mpaka kule Kagame anawapiku kiuchumi , kwa muda mfupi tu nchi imefika mbali , nyinyi bado na Zanzibar tu .

Unafikiri kila mtu mweusi ni mbantu au ni mwafrika ??

Elimu hii ya ngumbaro aliyowapa Laanatullahi Nyerere ni shida
 
Mwinyi hata sijui kwann ana waswas maana kwa siasa za Zanzibar hata asipofanya kampeni 2025 anapita asbhi na mapema tu hakuna upinzani Toka aondoke Maalim Seif, atulie tu afanye kazi wananchi wanaona kazi anayoifanya .
Teteteteeeeeee itakuwa uko Ulaya au Marekani
 
Niwaulize nani na ni jamaa yangu , Nyie watu mumezidi . Nyinyi wakristo wa Tanganyika mnaumwa sana na Zanzibar , kila wakati mnaweweseka Zanzibar mpaka kule Kagame anawapiku kiuchumi , kwa muda mfupi tu nchi imefika mbali , nyinyi bado na Zanzibar tu .

Unafikiri kila mtu mweusi ni mbantu au ni mwafrika ??

Elimu hii ya ngumbaro aliyowapa Laanatullahi Nyerere ni shida
Wew mwenyewe upo zenji ila babu yako alitoka tabora kwa wanyamwezi na akawa mtumwa wa waarabu zenji......bahati nzuri hawakumuhasi.....ndio maana leo upo.
Afu unajifariji ww mwarabu 🤣🤣🤣
Au ww adui wa mapinduzi matukufu ya mwaka 1964???
NB......SAWA WEW MWEUSI MWARABU HAKUNA SHIDA 🤣🤣🤣
Naona unamtukana nyerere kiarabu kisa alimfukuza mwarabu zanzbar ambapo babu zako walikua watumwa na bibi zako vijakazi wa kuzalishwa vizazi vya machotara.
 
Back
Top Bottom