Makuku Rey
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 3,387
- 3,575
Mi nmekata tamaa yaani!!!namsubiri mama anifute machozi may mosi hii,la sivyo.,....,..,............
Najibanaaaa mpaka nataka kufa kumbe mijizi inakula pesa tu!fyuuu
Najibanaaaa mpaka nataka kufa kumbe mijizi inakula pesa tu!fyuuu
Watu watakata tamaa na wakikata Tamaa ndio yataanza yale ya libya 🇱🇾 au central Africa ogopa sana taifa likisha lose hope