Dkt. Hamisi Kingwangalla: Nitashtaki kwa Mungu, Wallah!

Mi nmekata tamaa yaani!!!namsubiri mama anifute machozi may mosi hii,la sivyo.,....,..,............

Najibanaaaa mpaka nataka kufa kumbe mijizi inakula pesa tu!fyuuu
Watu watakata tamaa na wakikata Tamaa ndio yataanza yale ya libya 🇱🇾 au central Africa ogopa sana taifa likisha lose hope
 
'
IMG_20210405_160849.jpg
 
Ukimuomba Mungu atakupa bonge ya banzi maana utakua unamchefua hapo kakupa ka konzi ka kiaina tu unarukaruka ulivyokua unarusha watu kichura kumbe jizi moja konki muone sura yake vile
 
Back
Top Bottom