“Dkt. Dorothy Gwajima: Wanaowatumia Watoto kwenye matangazo ya kibiashara mtandaoni kukiona

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,437
Reaction score
5,235
Wanaopakia picha za watoto mtandaoni na kuwasababishia unyanyasaji kukiona

"Kuna watu sasa hivi mnaona kwamba wanafanyisha watoto matangazo ya kibiashara. Anampiga picha, anambandika hapo tangazo la kibiashara. Sasa vyombo vyetu vya kiuchunguzi tukisha pokea shitaka kama hilo linaweza kukutafuta wewe," anaeleza Dorothy Gwajima, Waziri wa Maendeleo ya Jamii.

Vipi na kile chama kinachotumia watoto kwenye siasa?
 
1746809857668.png
 
Kama ni kwa mkataba na maelewano yanaridhiwa na wazazi, yeye inamuhusu nini
Ni ushamba huu sasa........
 
Back
Top Bottom