Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,620
- 21,161
Bibi yangu kanipigia simu na kuuliza eti “nyumonia” ni mdudu gani huyu?Pneumonia ilaaaniwe
Usikaage kidogo kaa sanaMbona ukikaa kidogo msiba
Swala la afya ni la binafsi. Kila mtu ana haki ya kujiamulia. Mimi nadhani watanzania ndiyo tujilaumu wenyewe. Watu zaidi ya milioni 50 tunakubali kupelekeshwa na kichaa mmoja. Uhai ukitoka haurudi. Tukiamua kwa pamoja hata muda wa siku moja tu atakuwa kaburini na sisi tutabaki salama.Mtu mmoja ana uwezo hadi wa kuamua hatima ya afya za mamilioni ya watu.
Kweli tuna katiba sio ya kijinga tu ni ya kipumbavu kabisa. I lost a person of my family today in the morning kwa changamoto ya upumuaji.
Tuendelee kupiga nyungu. Mitano tena
Unataka wafe?Mmmh!! Mbona wale wa juu juu hawafi?
ShiftUnataka wafe?
Wekeni potential solutions ya nini kifanyike practically in our context na labda atafanya maana ni member humu na anasoma comments daily. Kulalamika tuuu haitusaidii sisi wote
Poleni sana kwa msiba. Hili janga sasa imefika mahali liwe personalized na kila mtu ajikinge kivyake ha atuma
WordSwala la afya ni la binafsi. Kila mtu ana haki ya kujiamulia. Mimi nadhani watanzania ndiyo tujilaumu wenyewe. Watu zaidi ya milioni 50 tunakubali kupelekeshwa na kichaa mmoja. Uhai ukitoka haurudi. Tukiamua kwa pamoja hata muda wa siku moja tu atakuwa kaburini na sisi tutabaki salama.
Ni Msimu wa Vumbi na Mafua makali.
RIP our lecturer
Bwana alileta, Bwana amechukua jina lake lihimidiwe
Kafa tarehe 23 taarifa imetoka tarehe 26
Una mashaka kuwa ni mzima?
Nashangaa mleta mada kapitwa na tukio kwa siku 3
Sikuwa na access na was up ya classmates leo ndio nimepata na kuufahamisha umma wa jf .. je, ni kosa ?Nashangaa mleta mada kapitwa na tukio kwa siku 3
angekuwa binadamu angeenda mahakamani kulalamikaPneumonia ilaaaniwe