curie
JF-Expert Member
- Oct 25, 2020
- 664
- 1,489
mpaka sasa tunafundisha wanetu practical za kutafuta 'g' kwa tumia uzi wakati wenzetu wanafanya maprac ya kutembea kwenye VacuumPhysics haijaleta mabadiriko makubwa barani Africa kama kwa wenzetu sijui ufundishaji wetu mbaya au vichwa vyetu waafrika havielewi somo hili.
Mpaka sasa hakuna Nobel price kutoka kwa waafrika weusi. Tatizo nini jamani.
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app