Dkt. Delvina Japhet Tarimo: Mtanzania wa kwanza kupata PhD ya Physics kwa muda mfupi

Kuna mama mmoja sitaki kumtaja anafundisha classical mechanics, ni ngonjela tu za physics.
Kusoma soma slide basi.
Wanawake ni mabingwa wa kukariri.
Kama ameweza kusolve problems za quantum physics basi ntamnyooshea mikono.
Siziamini sana Phd za wanawake hasa kwenye physics na engineering.
Ila udaktari okay, maana kule ni kukariri anatomy basi hakunaga equations za ku solve.
Wazungu wamegundua quantum internet, wachina wana quantum satelite sasa huyo sijui atatusaidia kupata quantum computer, kwetu kimya utafikiri hakuna wanafizikia.
 
Kutana na Dkt. Delvina Japhet Tarimo aliyeweka rekodi ya kuwa Mtanzania wa kwanza kupata PhD ya Physics ndani ya mwaka mmoja na miezi sita katika chuo kikuu cha Pretoria, Africa Kusini. Alikidhi vigezo vyote mwaka jana akiwa na umri wa miaka 31 na mwezi huu tarehe 6/5/2021 alitunukiwa hiyo nondozi yake ya PhD.

Jana aliitwa na Balozi balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini ubalozi jijini Pretoria. Pichani Kuanzia kushoto ni Richard Lupembe, Peter Shija, Balozi G. Milanzi, Delvina, Melchoir Rweyemamu, Rosemary Jairo na Col David Msakulo.

Hongera sana
Issue siyo hiyo PhD, swala la muhimu ungetuambia amefanya nn na degree yake hiyo? Amefanya uvumbuzi wa technology yeyote?
 
CC:Msukuma,Kishimba Na Wengine Huko
Kishimba anasema vyuo visidai computer kwa wanafunzi hazina msaada na ni kumuongezea mkulima gharama.
Utadhani chuo kiku ni lazima kwenda, kama wanaona gharama si wawakalishe watoto wao nyumbani. Hao ndio kina msukuma drs 7 bungeni wapo chumba kimoja na Phd.
 
Ukiangalia Kofia nadhani ni M.Phil si PhD! Kofia ya PhD huwa ni mviringo siyo hiyo.

Mwaka mmoja! Je, ametayarisha research proposal kwa muda gani; kuandaa andiko etc. Mwaka mmoja na nusu siamini ila kama amechakachua tu.
 
Issue siyo hiyo PhD, swala la muhimu ungetuambia amefanya nn na degree yake hiyo? Amefanya uvumbuzi wa technology yeyote?
Research gani hio ugundue kitu mwaka mmja.
Nenda kachukue zile articles za Phd na master, utajua Phd za bongo uzito wake.
 
Ukiwa na ma supervisor wazuri PhD unaweza kumaliza kwa muda huo bila shida yoyote...maana ukishakusanya taarifa zako za kitafiti, ukazichambua labda utatumia mwaka mmoja, kuandika na kuwasilisha andiko la utafiti miezi 6......kinachochelewesha wengi ni supervisors.
 
Kuna mama mmoja sitaki kumtaja anafundisha classical mechanics, ni ngonjela tu za physics.
Kusoma soma slide basi.
Wanawake ni mabingwa wa kukariri.
Kama ameweza kusolve problems za quantum physics basi ntamnyooshea mikono.
Siziamini sana Phd za wanawake hasa kwenye physics na engineering.
Ila udaktari okay, maana kule ni kukariri anatomy basi hakunaga equations za ku solve.
Wazungu wamegundua quantum internet, wachina wana quantum satelite sasa huyo sijui atatusaidia kupata quantum computer, kwetu kimya utafikiri hakuna wanafizikia.
Mmh
 
Kutana na Dkt. Delvina Japhet Tarimo aliyeweka rekodi ya kuwa Mtanzania wa kwanza kupata PhD ya Physics ndani ya mwaka mmoja na miezi sita katika chuo kikuu cha Pretoria, Africa Kusini. Alikidhi vigezo vyote mwaka jana akiwa na umri wa miaka 31 na mwezi huu tarehe 6/5/2021 alitunukiwa hiyo nondozi yake ya PhD.

Jana aliitwa na Balozi balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini ubalozi jijini Pretoria. Pichani Kuanzia kushoto ni Richard Lupembe, Peter Shija, Balozi G. Milanzi, Delvina, Melchoir Rweyemamu, Rosemary Jairo na Col David Msakulo.

Hongera sana
Kupata PhD akiwa na miaka 31 unaona maajabu?
 
Hii ni kweli kabisa!

Engineering na Physics kwa wanawake bado nitatizo kubwa!

Wengi wana Master's na PhD lakini wamekariri mno,hawako practical kabisa
 
PhD ya physics, hongera sana kwake. Physics sio somo rahisi hata kidogo.
 
Kutana na Dkt. Delvina Japhet Tarimo aliyeweka rekodi ya kuwa Mtanzania wa kwanza kupata PhD ya Physics ndani ya mwaka mmoja na miezi sita katika chuo kikuu cha Pretoria, Africa Kusini. Alikidhi vigezo vyote mwaka jana akiwa na umri wa miaka 31 na mwezi huu tarehe 6/5/2021 alitunukiwa hiyo nondozi yake ya PhD.

Jana aliitwa na Balozi balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini ubalozi jijini Pretoria. Pichani Kuanzia kushoto ni Richard Lupembe, Peter Shija, Balozi G. Milanzi, Delvina, Melchoir Rweyemamu, Rosemary Jairo na Col David Msakulo.

Hongera sana

Kudos to her
 
Kuna mama mmoja sitaki kumtaja anafundisha classical mechanics, ni ngonjela tu za physics.
Kusoma soma slide basi.
Wanawake ni mabingwa wa kukariri.
Kama ameweza kusolve problems za quantum physics basi ntamnyooshea mikono.
Siziamini sana Phd za wanawake hasa kwenye physics na engineering.
Ila udaktari okay, maana kule ni kukariri anatomy basi hakunaga equations za ku solve.
Wazungu wamegundua quantum internet, wachina wana quantum satelite sasa huyo sijui atatusaidia kupata quantum computer, kwetu kimya utafikiri hakuna wanafi

Kutana na Dkt. Delvina Japhet Tarimo aliyeweka rekodi ya kuwa Mtanzania wa kwanza kupata PhD ya Physics ndani ya mwaka mmoja na miezi sita katika chuo kikuu cha Pretoria, Africa Kusini. Alikidhi vigezo vyote mwaka jana akiwa na umri wa miaka 31 na mwezi huu tarehe 6/5/2021 alitunukiwa hiyo nondozi yake ya PhD.

Jana aliitwa na Balozi balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini ubalozi jijini Pretoria. Pichani Kuanzia kushoto ni Richard Lupembe, Peter Shija, Balozi G. Milanzi, Delvina, Melchoir Rweyemamu, Rosemary Jairo na Col David Msakulo.

Hongera zake, namfahamu huyu dada yupo vizuri, degree yake ya Kwanza kasomea St. John University of Tanzania dodoma na alibaki chuoni kama seminar leader. Ni product za engineer kingu
 
Ana meno yalio jipanga vyema.
Ana matege m'bonyeo kwa magoti.
Ana jicho la upanga.
Hajaolewa/hana Pete yeyote.
Ni mrefu wa aprix futi 6,1.
Ana ngozi ya chochote colour.
Ana vaa kiatu size 44/45
Ana umbo namba 1.
Otherwise, naungana na watanzania wenzangu kwa kumpongeza sana mwali.
Namba 4 umebugi,
Nyang'au wewe:p
 
Back
Top Bottom