Dkt. Dau afitinishwa na JPM

Mtalalama kwelikweli, utadhani mlikuwa mnanufaika na hayo majipu. Kwani walikuwa wanawaletea sadaka kwenye nyumba za ibada?
 
Mtalalama kwelikweli, utadhani mlikuwa mnanufaika na hayo majipu. Kwani walikuwa wanawaletea sadaka kwenye nyumba za ibada?
Kuwa na adabu kwenye Dini za wenzio hukuona wale wenzio(Rugemarila na wenzie) walio kuwa wanatoa sadaka makanisani
 
Kuwa na adabu kwenye Dini za wenzio hukuona wale wenzio(Rugemarila na wenzie) walio kuwa wanatoa sadaka makanisani
Sijataja dini mkuu. Mbona hasira nyingi? Una uhusiano na majipu hayo? Utajiumiza bure, wenzako wanakula maisha.
 
Mawazo yako kutukana dinj za wenzako,wewe Una uhakika gani Kama dini yako ni bora zaidi ya mwenzako,ikiwa wote tumezaliwa na kuzikuta,Nani alimuona yesu au muhamadi zaidi kusoma vitabu.
Kwa maoni yangu...Dini ni matokeo ya utumwa... Wanaowaza kwa mlengo wa kidini...eti dini yetu..dini yao...wanawaza kitumwa...ni watumwa
 
Kumbe dr dau ni miongoni mwa boko haramu? ndo maana naona boko haramu wanaushambulia sana uzi huu
 
Wataalam wa kulialia na kulalamika wameanza rasmi na bado!
 
Dau kama ni Jipu atumbuliwe tu... Tusihusishe maswala ya dini ktk hili swala.

Dini gani inayoruhusu ufisadi??....
 
Uzuri wa JPM, hutoa sababu kwa kila jipu analotumbua. Nimesoma huu uzi naona hauelezi sababu ya Dau, kutumbuliwa, hivyo nadhani mwandishi hajatoa pande mbili za shilingi. Na hii ndio shida kubwa, na kutokana na hivyo naona bora kumpuuza.
 
sasa hapo hajajui wapi atatupwa, ngoja apelekwe Burundi ndio mtalia mpaka.....
 
Hivi ni kwa nini maislamu wanapenda kuona kuwa wanaonewa wakati wote?? Mbona sijawahi kusikia mkristo hata siku moja akilalamika kwnye mambo ya kipuuzi kama haya?

Hii dini ni janga jaman
walilalamika sana wakati wa kikwete alipojaribu kutoa nafasi chache kwa waislamu, huyu jamaa wa sasa usiposoma seminari serikalini kwake huna bao
 
Mawazo yako kutukana dinj za wenzako,wewe Una uhakika gani Kama dini yako ni bora zaidi ya mwenzako,ikiwa wote tumezaliwa na kuzikuta,Nani alimuona yesu au muhamadi zaidi kusoma vitabu.
Umeuliza swali la muhimu sana...ni nani aliyemwona Yesu au Mtume Muhammad S.A.W, mara nyingine nafikiri hata wazungu na waarabu wanatuona wapumbavu sana kwa kugombana kwa ajili ya dini walizotuletea.
 
faiza foxy huwa napenda sana kuona mchango wako katika mada kama hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…