Dkt. Bashiru: Namshukuru Rais Samia kwa kuniteua kuwa mbunge, hii ni heshima kubwa kwangu kwani hadi sasa tuko nane


Kwahiyo kwa kuchaguliwa na rais kuwa mbunge ndio katoa suluhisho la kero ya kilimo?
 
Hata ungekuwa wewe ungesemaje kwa mfano kama siyo kushukuru kwa demotion ???je uwaoneshe watu kwamba moyo unavuja damu lazima ujikaze tu
 
Alipo teuliwa kuwa katibu mkuu wa CCM alisema hadharani kuwa cheo hicho ni cha juu sana kwake na kwamba hawezi tena kukubali cheo kingine cha kuteuliwa kwa maana kuwa vitakuwa vidogo. imekuwaje leo anashukuru kwa kuteuliwa kuwa mbunge kacheo ambako ni kadogo sana?. usitukane wakunga uzazi ukingalipo.
 
Pamoja sana jembe, umekuwa jembe na utabaki jembe!
 
Jitu la hovyo kabisa, usomi wa kifala na mavi
Nyumba za ccm ulizokuwa umejimilikisha zinakutoa roho!! Huyo ndo bashiru mfia nchi. Jimilikisheni tena! Lkn mjue kuna mwamba mwingine huko mbeleni atakuja na atapita na account zenu kwa kujilipia mapesa kwa mali isiyo yako. Mbaya zaidi utakuwa umeishakuwa kibabu na wajukuu zako watajuta kuwa babu yao.
 
Suala la kumsema Bashiru ni haki ya huyu mdau kama Wewe ulivyo tumia haki yako kumpaka! Ila hilo la sadism, ni baya limeuwa na linaweza kuondoka na wengine pia!
 
Diehard fan wa Bashiru Kakurwa Ally huwa unamtetea kila kipengele. Na alipotumbuliwa u KMK ulimteteea ukasema atakuja na comeback kubwa ya uteuzi ndani au nje ya chama. Hakuna kilichotokea, the past is a history
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…