Dkt. Bashiru Ally umepoteza mwelekeo; hukuwa hivyo!

Msikilizeni yule muungwana aliyekuwa anajieleza kwa weledi na pozi za kisomi Leo anavyojibu maswali ya waandishi.
Hakika kwa muda mfupi huu watu wamepata kujua kwa nini ukiingia ccm unaharibikiwa fikra.
Kweli akili hizi ni zile za Dr Bashiru?

Damu imeshakuwa ya kijani, ataongea nini sasa! Na wanaamini walivyo wapuuzi watz wote ni wapuuzi kama wao
 
Huyu Nate ameishajitoa ufahamu.basi kama kusoma vyuo mwisho wake no huo sins haja ya kwenda chuo kikuu
 
Swali gumu sana. Afanyeje sasa. Unaulizwa swali linahusu katiba yenu mnayoivunja. Je hii katiba ya nchi mtaiheshimu?
siku nyingine muazime hako ka avata kako ajibu kakiwa kamefungwa maana kuna hatari ya mtu kuwa arrest ya cardiac
 
sharti la kuhamia ccm ni lazima kwanza ukubali kukabidhi akili zako kwa mwenyekiti halafu yeye afikiri kwa niaba ya your empty head.
 
Msikilizeni yule muungwana aliyekuwa anajieleza kwa weledi na pozi za kisomi Leo anavyojibu maswali ya waandishi.
Hakika kwa muda mfupi huu watu wamepata kujua kwa nini ukiingia ccm unaharibikiwa fikra.
Kweli akili hizi ni zile za Dr Bashiru?

Msihoji kuhusu elimu yake kwani alisoma kwenye shule za masikini.
 
Msikilizeni yule muungwana aliyekuwa anajieleza kwa weledi na pozi za kisomi Leo anavyojibu maswali ya waandishi.
Hakika kwa muda mfupi huu watu wamepata kujua kwa nini ukiingia ccm unaharibikiwa fikra.
Kweli akili hizi ni zile za Dr Bashiru?

Hivi ulitegemea Dr. Bashiru angebakia the same baada ya kuchaguliwa kuwa mtendaji mkuu wa Chama? Practically it is not possible
 
Msikilizeni yule muungwana aliyekuwa anajieleza kwa weledi na pozi za kisomi Leo anavyojibu maswali ya waandishi.
Hakika kwa muda mfupi huu watu wamepata kujua kwa nini ukiingia ccm unaharibikiwa fikra.
Kweli akili hizi ni zile za Dr Bashiru?

A typical dictator!
 
Hakika kwa muda mfupi huu watu wamepata kujua kwa nini ukiingia ccm unaharibikiwa fikra.
Kweli akili hizi ni zile za Dr Bashiru?
Sasa wewe na Bashiru mna tofauti gani kiasi cha kumfungulia thread
Wewe mpaka July 2015 ulikua unaimba humu Lowassa fisadi,ukafanyiwa mazingaombwe ukawa unaimba mabadiliko
 
Back
Top Bottom